Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Mm bado ntabaki na msimamo wangu uleule kwamba hawa ndugu zetu tuliowatoa ubavuni mwetu japo ni watamu lakini pia wanatusababishia matatizo makubwa mno.

HISTORIA YA KWELI

Mnamo mwaka juzi mwezi wa sabasaba hizi kulitokea kadada kamoja kalinisumbua sana mungu si athumani akakubali ombi mtoto aliumbika nyuma anamkia kama wote hizo chuchu sasa ni hatari tunyonyo tudogotudogo na vishazi vya kutapeliwa wajinga na wajanja.

PICHA LINAANZA

Baada ya kupita kama siku 3 hivi za kuomba mbususu, demu akakubali nikasema usiwe tabu njoo geto akasema geto kwako siji watamwambia mama majirani twende gesti kidume sikulaza demu nakumbuka kipindi hicho nilikua dalali wa simu ikibidi niuze simu moja kwabei ya hasara ili nikachakate mbususu mungu si athumani nikafanikiwa kuuza spark 2 kwa 50k fast.

PICHA LINAENDELEA

Tukifika gesti nakumbuka nililipa 20k nikapewa key nikatoe hukumu kwa huyu binti, nilivofika tu ndani sikutaka kupoteza muda nikachukua mafuta nikalamba kwanza "k" ulivotoka utelez tu nikiingiza rungu nikachakata kama dakika 23 hivi wazungu hao kipindi hiko najisemea kimoyomoyo wacha anione kolo ninaupwiru ndo maana sijamuandaa kumbe nilikuja na technique mpya ya kuanzia in descending order. Kabla sijaanza chapili ndo nikaanza kumuandaa sasa ili nichakate vzur na nkifata sheria zote za mafundi wa ngono na nakumbuka nilipiga vitatu tu.

BAADA YA SIKU 1 KUPITA

Nakukumba nlikua naenda kukojoa asubuh baada ya kuamka sasa natoa mjegeje nikojoe naona wese halitok naongalia kichwani nakuta kuna usaha umeganda nikipigwa na butwaa nikachukua kadi ya bima fasta nikaenda Marie stopes kupima nikaambiwA nina gono lakini kupima Hiv nikaoneka negative nilifurahi sana

USHAURI: USIUZE MECHI WANAWAKE NI WAJANJA SANA WANATAFUTA WAKUFA NAO
 
AMINA KIJORA ANILIPA U.T.I SUGU ILE YA KUCHOMWA SINDANDO

MAMY ZE BOSS ALINIPA GONO
SIKUVAA BOKSA MIEZI 6 NILIKUWA NATEMBEA KAMA NINA BUSHA
KUKOJOA KAMA NIMEPIGWA SHOTI
NILIKUWA NALALIA MGONGO TU MAANA UKILALIA TUMBO KICHWA CHA UUME KINAPIGA SHOTI MUDA WOTE
 
AMINA KIJORA ANILIPA U.T.I SUGU ILE YA KUCHOMWA SINDANDO

MAMY ZE BOSS ALINIPA GONO
SIKUVAA BOKSA MIEZI 6 NILIKUWA NATEMBEA KAMA NINA BUSHA
KUKOJOA KAMA NIMEPIGWA SHOTI
NILIKUWA NALALIA MGONGO TU MAANA UKILALIA TUMBO KICHWA CHA UUME KINAPIGA SHOTI MUDA WOTE
Duh kwahyo ikawaje😂😂😂😂
 
Usiamini MTU. Mimi aliniambukiza demu Fulani mbichi kabisa anafanya kazi serikalini, bahati nzuri sikushuka uvinza. Kibaya zaidi niliwajibika kwa girl friend wangu wa kipindi hicho siku hiyo hiyo.Eebwanae. Kumwambia girl friend anayekuamini kwamba umemuambukiza gono Ni mbombo ngafu.
 
2010 tulipiga mande masela 10 tukijua tumemkomoa yule malaya doh!!!
Maajabu ni kwamba kuna walioumwa gono,kaswende na uti mpaka nikajiuliza huyu demu ana juju au veep...

Nikajuta na zile pushapu nilizokua napiga..(nilikua na tabia ya kupiga pushapu wakati nasubiri foleni ili damu ichanganye..)
 
Back
Top Bottom