dopamine-B
Member
- Sep 1, 2012
- 93
- 278
Gono linanitesa Sana naomba msaada wewe umetibiwaje,Nimeugua gono mara 4 hivi
Nimetumia Ceftriaxone 1g injection
Doxycycline siku 10 bado sijasema.
Ilkua pumbu kushoto inauma Ila SASA naona iko Sawa, nimepewa tena cefixime 400mg 1*1/5
Azitromycin 1g stat
Ceftriaxone 1g injection
Metronidazole 400mg 7days
Naendelea na tiba mwezi wa Tatu SASA toka nianze dalili
Napata maumivu makali Sana nikikaa au nikilala au nikibanwa na mkojo. Je nikawaida. Usaha mimi nauna mara moja moja sana Hadi nikae Sana chooni nikijiminya ndio ukatoka, pia semen ipo kama na maji ya maziwa hivi nyepesi