ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nilishamwambia akanibishia...Huyo ni mzinguaji tu Hana lolote[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishamwambia akanibishia...Huyo ni mzinguaji tu Hana lolote[emoji1787]
Ikibidi kufanya hivyo nitakuwa peke yangu, ili majibu niyabebe mwenyewe kifuani[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amini,nitakusitiri
Hiii bar ina vibe kuna malaya sanaNakumbuka hapo mlandizi nikiwa nawakula dogo dogo mitaa fulani nyuma ya (kauli ya bibi bar) nililikwaa Gono kwa kadem flani kadogodogo,keupe,kazuri,chuchu mchongoma....haukadhanii kabisa aisee...
Kwenda kwa dokta akaniandikia madawa kibaao bili ikaja 51,000 huyu dokta tulikuwa tukikutana nae saana kauli ya bibi kwenye kumwagilia moyo vile vitu vyetu....
Alinichukulia nna hela saana...... nikamwambia dokta, labda ukae na leseni yangu I'll pay you end of the month...but for now I have only 11,000 only! in my pocket...
Nikashangaa anachenchi karatasi na kuandika andika madawa anayoyajua akanipa....
Madokta wa kisasa wa siku hizi Bwana unakadiriwa bei ya dawa kulingana na muonekano wako! wanajua wakuandikie dawa za kiasi gani, wanajua hautaruka! ...ukikaza! wanajifanya wanabadili dawa kumbe ni dawa zilezile...
All in all nilipona Gono within 2 days...
Vizuri kama umeng'amua hilo. Basi nipee mbususu nione huruma jamani nyeto nimeichoka🤣🤣🤣🤣🤣Kwa Yale mafunzo niloyopitia Cuba,nadiriki kusema Wewe jamaa una maneno mengi Ila sio mtendaji Kama wengi wanavyokufikiria.....ungekuwa mtendaji usingethubutu kuharibu CV yako hadharani🤣🤣🤣🤣🤣watendaji na HIV zao wako kimya wanatafuta mawindo na wanakemea Sana ngono zembe
Wapi huko na mie nikaenjoyHiii bar ina vibe kuna malaya sana
Mlandiz mkuuu kuna mademu weng full madelaWapi huko na mie nikaenjoy
Itabidi nitembelee hapo kwa kweliMlandiz mkuuu kuna mademu weng full madela
Ni asali ya bibi.Nakumbuka hapo mlandizi nikiwa nawakula dogo dogo mitaa fulani nyuma ya (kauli ya bibi bar) nililikwaa Gono kwa kadem flani kadogodogo,keupe,kazuri,chuchu mchongoma....haukadhanii kabisa aisee...
Kwenda kwa dokta akaniandikia madawa kibaao bili ikaja 51,000 huyu dokta tulikuwa tukikutana nae saana kauli ya bibi kwenye kumwagilia moyo vile vitu vyetu....
Alinichukulia nna hela saana...... nikamwambia dokta, labda ukae na leseni yangu I'll pay you end of the month...but for now I have only 11,000 only! in my pocket...
Nikashangaa anachenchi karatasi na kuandika andika madawa anayoyajua akanipa....
Madokta wa kisasa wa siku hizi Bwana unakadiriwa bei ya dawa kulingana na muonekano wako! wanajua wakuandikie dawa za kiasi gani, wanajua hautaruka! ...ukikaza! wanajifanya wanabadili dawa kumbe ni dawa zilezile...
All in all nilipona Gono within 2 days...
Kinene alikuwa rafiki yangu na pia sikiwa nakutana naye sana kwani mimi nilikuwa CBA so hatukuwa tunakutana naye sana. Sisi alikuwa Mama Assenga yule wa Biology ndio tulikuwa tunakutana naye sana.
Safi. Saana mgalatia.Kinene alikuwa rafiki yangu na pia sikiwa nakutana naye sana kwani mimi nilikuwa CBA so hatukuwa tunakutana naye sana. Sisi alikuwa Mama Assenga yule wa Biology ndio tulikuwa tunakutana naye sana.
Sio kama mwili unahimili hapana,mostly wanashindwa kutofautisha hali ya ute wa kawaida na tatizo hasa kwenye hatua za mwanzo,kumbuka hawa njia ya mkojo ni tofauti na uke hivyo akikojoa hapati maumivu kama mwanaume ndio maana wanajigundua tatizo likiwa kubwa au mwanaume aliyeambukizwa naye ausanueGorno mwanamke anaweza kuwa nalo na asijijue, hawa wenzetu miili yao inahimili aina hiyo ya magonjwa kama mwanzoni. Ukija kuona hadi dalili zinaonekana, jua umefika pakubwa
Sio kila mtu ana moyo wa kupokea majibu,,,,mwingine akiambiwa anaanza kuwashwa hapohahapo,kitapika,kuharisha,anaota mapunye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora tu mstuko yaani
Binadamu tuko tofauti sanaMwingine akipewa majibu anaenda kujiua chap...sio kila mtu anauwezo wa kupokea ushauri,yasikie kwa jirani yasikukute unaweza kujipupulia mbele ya DK [emoji16][emoji16]
Endelea na tonye haina gono Wala yutiyai😂Vizuri kama umeng'amua hilo. Basi nipee mbususu nione huruma jamani nyeto nimeichoka🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Kama mambo ndivyosivyo,lazima ukonde na jakamoyoIkibidi kufanya hivyo nitakuwa peke yangu, ili majibu niyabebe mwenyewe kifuani[emoji16][emoji16]
Ah wapi sie na mbususu tuu kma gono wacha tupate sii mnatupa nyie wenyewe waremboEndelea na tonye haina gono Wala yutiyai😂
Tuombe Mungu ayaepushie mbali tu kwa kweli🤣🤣🤣🤣🤣Kama mambo ndivyosivyo,lazima ukonde na jakamoyo
Kwa kosa lipi?pigwa ban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gono, Kaswende na ndugu zake bado hakuna aliyewahi kunitembelea, kwa kweli nashukuru[emoji120][emoji120][emoji120]
Baba lao ndoo naogopa hata kupima [emoji16][emoji16]
DuhNakumbuka nililata dem fulani ana mwili mkubwa ila bado mdogo chuchu saa sita nilikutana nae kwenye daladala na alikua mgeni mgeni mjini ametoka usukumani.
Nilimwomba gemu tukakubaliana twende guest fulani asee alikua mzuri kwa sura na umbo cha kushangaza k yake ilikua ndogo ila ina kaharufu fulani kabaya nilifanikiwa kupiga hivyo hivvo .
Wakati tunaendelea na show alitokwa na damu nkahofia kuingia period akasema hapana mashine yangu kubwa inamchubua .
Nilianza kupata gono baada ya siku mbili ila niliwahi ko haikunitesa.