Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

Dooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3]utakaribia kusema hii ni serum ya kutesea wanajeshi waasi na si dawa ya kutibu
 
Wakati nipo O Level kipindi cha late 1990's nikaopoa Dada mmoja huko vijijini. Nikamlala kavu. Baada ya siku 2 tatu naona nakojoa mkojo wa njano. Baada ya wiki ile njano ikawa Kali sana ila nikapuuzia.

Nikaenda jiunga Advance Galanos Sekondari. Nimekaa miezi zaidi ya 6 sijakutana na mwanamke. Baadaye nikaanza kuwashwa sana sehemu ya siri na kukawa kuna tokea kipele kwenye uume then kinapotea. Nikawa napuuzia, baada ya miezi kadhaa tunaingia six nikaanza kuwashwa ila sasa ni kwa nguvu na uume kutoa vioele na kuwasha sana. Ikabidi niende zahanati ya shule wakaniambia niende Hospitali mjini.

Nikaenda Hospitali, kunipima Kaswende hii. Wakanihoji pale nikawaambia nina zaidi ya mwaka sijakutana na mwanamke pekupeku ila nikawaambia hali ikiyonitokea nikiwa O Level. Kumbe nina Syphilis. Hahahahaaa, yale masindano yake siwezi sahau.
 
Khaaaaaa
 
Ute ute wa njano hivi ,hii ime nipata tena kwa kitoto cha shule mwezi ulio pita

nkawa nashangaa nme chafua boxer nka zani bwana mkubwa ame anza kuji chukulia sheria mwenyewe .nka liwahi chapu nilipewa Ceftriaxone.
 
Kitu cha penadu
 
Ute ute wa njano hivi ,hii ime nipata tena kwa kitoto cha shule mwezi ulio pita

nkawa nashangaa nme chafua boxer nka zani bwana mkubwa ame anza kuji chukulia sheria mwenyewe .nka liwahi chapu nilipewa Ceftriaxone.
Hahaha polee mkuu azuma ndio kiboko ya hiyo kitu...naona huu ugonjwa ndio umeingia na U.T.I.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…