Wanaume tuliowahi kupata gono tukutane hapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo linaanzia hapo[emoji28]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi nimecheka,ila nimewahurumia vijana.Bora gono.Ngoma je?Cha muhimu tumieni kinga. Bora ujichue kuliko kuuza mechi wajameni wadogo zanguni .
Umecheka Hunifikii Mimi aisee[emoji38][emoji38]

Sema naomba mungu iki kikombe kiniepuke kabisa, nyie wanawake mnatembea mmekufa na mmeoza ndani kwa ndani.

Mnawezaje vumilia gonjwa la ajabu Kama gono na mtu Yuko confortable haskii hata muwasho, afu unamuambukza mtu ndani ya 48hrs anaanza kutoa usaha[emoji848]

Sipati picha ule usaha nnaouona Kwny vidonda ndo unanitoka Kwny mashine yangu. Unaweza hisi umeoza ndani kwa ndani.

Aisee hii inatisha Sana[emoji26]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wanatembea wameoza aisee[emoji848]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
kaa mbali kabisa na gono la dom.. dodoma naweza kukaa mda wowote bila kufumania nyavu.. napaogopa kama ebora [emoji28][emoji28][emoji28] hata ije pisi kali vipi na hela inipe sijaribu kuikula.. bora iende na utamu wake
Kuna dokta mmoja alisema wanawake wa Dom usafi Changamoto,pia wavivu wa kunywa maji,wakikojoa kojo TU linanuka balaa,vp ukipata gono la mtu asiekunywa maji linakua concentrated balaa[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…