Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilishanikuta Mara mbili, nilichogundua kila upande unatambua condom imepasuka ila ndo manjonjo yanazidishwa ikiwemo kushikiliwa usichomoe🤣🤣🤣🤣🤣 Sii mchezo kitu ni tamuuu
Bwana wee kwnza wao ndio wapinzani wakuolbwa wa ndom...hawazitaki kabisa na kweli hawataki uchomoe wanakukaba hadi lobaIlishanikuta Mara mbili, nilichogundua kila upande unatambua condom imepasuka ila ndo manjonjo yanazidishwa ikiwemo kushikiliwa usichomoe
Hahaha hukupigwa bakora na Mr msocha??Hahaaaaaa, sijui ni gono au kaswende ila sitaki kukumbuka. 2005 nilitembea na Dada mmmoja, Nilianza kukojoa mkojo wa njano na jamaa kuuma then vikaanza vipele na kujikuna. Ugonjwa ule ulikaa muda mrefu na nilipoenda Galanos, wanafunzi wenzangu wakanishtukia maana sio kwa kujikuna vile mpaka najisahau. Wakanishtukia mwisho nikaenda Hospitali pale Tanga. Siwezi kusahau yale Masindano na madonge. Zile sindano ni kubwa ile mbaya.
Ni kaswende.. syphilis..huu ugonjwa unashambulia mdogomdogo lakini Ni hatari unaweza kuharibu Hadi ubongo ukawa kichaa..Hahaaaaaa, sijui ni gono au kaswende ila sitaki kukumbuka. 2005 nilitembea na Dada mmmoja, Nilianza kukojoa mkojo wa njano na jamaa kuuma then vikaanza vipele na kujikuna. Ugonjwa ule ulikaa muda mrefu na nilipoenda Galanos, wanafunzi wenzangu wakanishtukia maana sio kwa kujikuna vile mpaka najisahau. Wakanishtukia mwisho nikaenda Hospitali pale Tanga. Siwezi kusahau yale Masindano na madonge. Zile sindano ni kubwa ile mbaya.
Kwanini Ni rahisi kuipata ?Chylamidia ni rahisi sana kuipata,sema unatibika kirahisi pia.
kaa mbali kabisa na gono la dom.. dodoma naweza kukaa mda wowote bila kufumania nyavu.. napaogopa kama ebora 😅😅😅 hata ije pisi kali vipi na hela inipe sijaribu kuikula.. bora iende na utamu wakeDom naskia imeoza balaa,
Gono la Dom naskia Ni la kimataifa[emoji1]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu,inakera balaa yaani inakufanya unakuwa haupo comfotable kabisa...dawa yake ni azithromycine tablets ipo na vidonge vitaku ndani ya siku tatu inakata but inashauriwe utulie week mbili ndio unakuwa safe kabisamkuu imenipata wiki iliyopita. Ni Noma. sipati maumivu lakini kichwa kinatema usaa kama dragon.
Kuna jamaa yangu chuo alikuwa chronic wa gono, hadi alikuwa anatembea na vichupa vyake vya dawa na sindano yani anajidunga tu😅Nashangaa ni Mwezi huu tu ndiyo sijaupata. Dawa za Gono zimenizoea hadi zinanionea Huruma.
Unawahi mapema kula doze, gono haitaki ubishiSasa ndo mjiandae kubabuka kirungu
Ni kweli kabisa mkuu,yaani unapona chap..tu kwa dose ya Az.ila inakera kuchafua boxer yaani kila mara nilikuwa nikipata upenyo najichungula vipi kunaendeleaje[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unakuta kitu bado inatemaChylamidia ni rahisi sana kuipata,sema unatibika kirahisi pia.
Utakua unademu mmoja mlokole muimba kwaya lakn ukiwa mwanaharakat lazma utaupata tu no way you can escape this fuckiiìing gono
Kwa comment za huu uzi bakari nondo mwamnyeto anabaki kuwa beki bora mzawa kwa sasa katika league yetu.
Vidonge gani hivyo mkuu maana mm naugua kila baada ya miezi 3 *****Siku hizi kuna vidonge vya gono sio lazma sindano
Mm kanuni yangu demu yeyoye anayenuambukiza gono ndio tumeachana milele yaaniAisee Ni gonjwa la aibu mno,
Sijui mwanamke atakaekuja niambukiza Hilo dude ntamfanya nn[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ulilamba K hukupata gono la mdomo kweli?Mm bado ntabaki na msimamo wangu uleule kwamba hawa ndugu zetu tuliowatoa ubavuni mwetu japo ni watamu lakini pia wanatusababishia matatizo makubwa mno.
HISTORIA YA KWELI
Mnamo mwaka juzi mwezi wa sabasaba hizi kulitokea kadada kamoja kalinisumbua sana mungu si athumani akakubali ombi mtoto aliumbika nyuma anamkia kama wote hizo chuchu sasa ni hatari tunyonyo tudogotudogo na vishazi vya kutapeliwa wajinga na wajanja.
PICHA LINAANZA
Baada ya kupita kama siku 3 hivi za kuomba mbususu, demu akakubali nikasema usiwe tabu njoo geto akasema geto kwako siji watamwambia mama majirani twende gesti kidume sikulaza demu nakumbuka kipindi hicho nilikua dalali wa simu ikibidi niuze simu moja kwabei ya hasara ili nikachakate mbususu mungu si athumani nikafanikiwa kuuza spark 2 kwa 50k fast.
PICHA LINAENDELEA
Tukifika gesti nakumbuka nililipa 20k nikapewa key nikatoe hukumu kwa huyu binti, nilivofika tu ndani sikutaka kupoteza muda nikachukua mafuta nikalamba kwanza "k" ulivotoka utelez tu nikiingiza rungu nikachakata kama dakika 23 hivi wazungu hao kipindi hiko najisemea kimoyomoyo wacha anione kolo ninaupwiru ndo maana sijamuandaa kumbe nilikuja na technique mpya ya kuanzia in descending order. Kabla sijaanza chapili ndo nikaanza kumuandaa sasa ili nichakate vzur na nkifata sheria zote za mafundi wa ngono na nakumbuka nilipiga vitatu tu.
BAADA YA SIKU 1 KUPITA
Nakukumba nlikua naenda kukojoa asubuh baada ya kuamka sasa natoa mjegeje nikojoe naona wese halitok naongalia kichwani nakuta kuna usaha umeganda nikipigwa na butwaa nikachukua kadi ya bima fasta nikaenda Marie stopes kupima nikaambiwA nina gono lakini kupima Hiv nikaoneka negative nilifurahi sana
USHAURI: USIUZE MECHI WANAWAKE NI WAJANJA SANA WANATAFUTA WAKUFA NAO
Mudi Mwanaharakati anasemaga ni MAE! 😂😂😂Usiamini MTU. Mimi aliniambukiza demu Fulani mbichi kabisa anafanya kazi serikalini, bahati nzuri sikushuka uvinza. Kibaya zaidi niliwajibika kwa girl friend wangu wa kipindi hicho siku hiyo hiyo.Eebwanae. Kumwambia girl friend anayekuamini kwamba umemuambukiza gono Ni mbombo ngafu.
Huku pushapu mixa vichura chura vikiendelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka mpaka Basi
Kama nakuona vile unavosubiri foleni[emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yule mama Mgina nilikuwa nampenda sana mama wa watu hana makuu ila Socha boy yeye mikwara tu.Hahaha hukupigwa bakora na Mr msocha??
Mama Mgina