Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

Aiseeeee!,na umetiritika!

Kibaya zaidi wanaume wanapungua lakini pia wanawake wana nguvu kidogo za kike yaani hawana hisia wanawaza pesa tu,hata kulowa siku hz hawaloi

Kikubwa uwe na pesa unajipigia kimoja cha kiboss hata ngoma hupati
 
Mkoa gan kaka
 
Kweli adui mwombee njaa, ila tutafute pesa na miguvu ya kiume haika utawala sana so itabid ununue tu catton ya Azuma
 
Ila kiukweli hali sio huku kitaa.
Madogo muda mwingi wako kwenye free Wi-Fi ni mwendo wa kuangalia chonda tuu wakitoka hapo ni mwendo wakupiga puli tuu
 
Hahaha
 
Jiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…