Wanaume tumeruhusu wanawake wahodhi nguvu za kiroho (uchawi) then there is no hope for the future

Kweli kabsaa mkuu umenena.
 
Nakemea kwa jina la Yesu Kristo pepo mchafu aliye ndani akutoke mara moja.
 
Thats likud
Wasukuma wengi wanatumia ndumba kwa wake zao
Kuna mzee mm1 mtaani hapa Ako na pesa mingi..watoto wanakimbilia 30 wake 5 na ako na mpango wa kuongeza wengine .....Watu wanajiuliza anawamudu vipi maana Tabia za kipuuzi hawana....
Huyo Mzee ukimuona mwambie akupe namba zake nimrushie hela ya soda.

Hawa viumbe ukienda nao Kavu Kavu utaumia mzee.

NI lazima " uwalazimishe* kushirikiana.

Pesa peke yake haitoshi kuwatuliza.

Wala mtu asikudanganye u can keep a woman just for your performance on the bed.

Piga machawi tu.

Hawa viumbe Ndio maana Mungu akawaita " HAWA"
 
Zama hizi bado umekomalia mambo ya kurogana?

Faida kuu ili uweze kuoa wake wanne heheh!

Tabia za kike hizo dume kupasua nazi njiapanda!
 
Inasikitisha watu badala ya kumuamudu Mungu
Mnamuabudu Shetani!!
 
Zama hizi bado umekomalia mambo ya kurogana?
Faida kuu ili uweze kuoa wake wanne heheh!

tabia za kike hizo dume kupasua nazi njiapanda!
Msiporogwa nyie hamuwezi kutulia. Akili zenu mnajijua wenyewe.
 
Uzi wa madini adimu Sana Zama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…