Mwadunda
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,049
- 1,755
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta mganga mzuri kuna mkaka nataka nimuhodhiUnatakiwa kuwa na nguvu kubwa za kiroho kuliko mke wako vinginevyo atakutawala na mwisho wako hautokuwa mzuri.
Ye akiloga Pangani we nenda kaloge kasulu.
Ye akiloga Lindi we nenda kaloge Rufiji.
Ye akichinja Mbuzi we chinja n'gombe.
Ukishindwa kabisa, fuata ushauri WA Mungu kwenye kitabu cha KUTOKA 22:18.
Vinginevyo, SHAURI YAKO.
msaada wako tafadhaliBuhahahahahaha
Ur still a learnerNilikuwa nadhani ukoloni ni kitu kibaya na wakoloni ni watu wabaya, ila kwa upumbavu huu ulioandikwa hapa na maoni ya wachangiaji, colonialism is the best thing ever happened to Africa, pengine wasingepaswa kuondoka
Natafuta mganga mzuri kuna mkaka nataka nimuhodhi
Hii inaitwa muwahi kabla hajakuwahi..!
nilielewa hii mzee mwenzangu hujawahi kuniangusha naona watu wamegusia kwa likud uchawi tu lakini mwenzao anamaanisha pakubwa mnoo..Unajua hii topic inaweza isiwe kwa uchawi tu.
Chukulia hata katika maisha ya utafutaji, siku hizi utakuta tunasema natafuta mwanamke anayefanya kazi ili tusaidiane majukumu.
Sasa hapo ni kwamba unampa majukumu ambayo yalitakiwa kuwa ya mwanaume, yeye alitakiwa kuzaa na kutunza familia.
So, kama analeta sh 1,000 na wewe unaleta sh 1,000 mna sh 2,000; mkitaka kuitumia hiyo hela ni lazima kikao cha bajeti kikae.
Na kama sh 2,000 yote umeileta wewe mwanaume, decision making yote ni ya kwako, unabaki unatoa taarifa kama kuomba ushauri tu ila maamuzi unabaki nayo yote
nilielewa hii mzee mwenzangu hujawahi kuniangusha naona watu wamegusia kwa likud uchawi tu lakini mwenzao anamaanisha pakubwa mnoo..
Mwanamke ni kuzaa watoto na malezi baba kutafuta mama na watoto wale,wavae full stop..
Hii haki sawa ni ujinga. Naunga hoja yako mzee mkubwa
yaani mkuu inawezekana ligi tusichukue ikifutwa ama kusimamishwa?Pamoja sana, ligi hakuna, kwa hiyo JF ndo imebaki pa kupotezea weekend.
yaani mkuu inawezekana ligi tusichukue ikifutwa ama kusimamishwa?
Sielewi!
Nimewahi kushuhudia mwanamke akigombana na Mme wake kwenye simu akihapa kwa miungu yake sijui mashetani yake eti afukuzwe kazi ndo atatia adabu na kumuheshimu na kwamba hiyo kazi ndo inamfanya nyanyase! Na kweli mwanaume alifukuzwa kazi alikuwa anafanyakazi mkoa fulani anatuma hela za matumizi ya familia na kusonesha watoto na mambo hapo nyumbani yalikuwa yanaenda! Mwanaume kuona hivyo kajikusanya kaenda kanununua kiwanja na kujenga nyumbani yake na kuchukua watoto na kuachana na huyo mwanamke kuhepusha hasira hasara! Mpaka sasa mwanaume hana kazi lakini yuko kwake na watoto na Hugo mwanamke kaishatimuliwa! Matatizo mengi ya mabalaa na mikosi na hali ngumu ya msisha usikute ni wanawake na uchawi wao wa kutaka kumkalia kichwani mwanammeHii topic kuna siku niliwahi kujadili kitu sijui kama ni humu, kwamba wanaume tumeuza share ya umiliki wa nyumba.
We are no longer heads of houses kwa sababu majukumu yetu baadhi yanafanywa na wanawake.
Yaaani wanaume wawe wachawi kuzidi wanawake..na wanawake wachawi wauawe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]UFUPISHO: Mleta mada anashauri wanaume tuwe wachawi kuwazidi wanawake. Karibuni tena!