Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa kuwa na nguvu kubwa za kiroho kuliko mke wako vinginevyo atakutawala na mwisho wako hautokuwa mzuri.
Ye akiloga Pangani we nenda kaloge kasulu.
Ye akiloga Lindi we nenda kaloge Rufiji.
Ye akichinja Mbuzi we chinja n'gombe.
Ukishindwa kabisa, fuata ushauri WA Mungu kwenye kitabu cha KUTOKA 22:18.
Vinginevyo, SHAURI YAKO.
Huu ni uchawi na watu wanaona uchawi sio tatizo mbele za Mungu. Ukihalalisha uchawi dunia hii itakuwa jehanam. Tabia za kupenda kuwakandamiza wanawake zinafanywa na jamii zilizo primitive na zinabarikiwa na dini za kishetani zenye kuhalalisha uchawi na matumizi ya majini. Watu wanaotoka kwenye dini hizi ndio wanaoona fahari kuzungumza mambo ya kihafidhina kama haya.Unatakiwa kuwa na nguvu kubwa za kiroho kuliko mke wako vinginevyo atakutawala na mwisho wako hautokuwa mzuri.
Ye akiloga Pangani we nenda kaloge kasulu.
Ye akiloga Lindi we nenda kaloge Rufiji.
Ye akichinja Mbuzi we chinja n'gombe.
Ukishindwa kabisa, fuata ushauri WA Mungu kwenye kitabu cha KUTOKA 22:18.
Vinginevyo, SHAURI YAKO.
Inasikitisha!Mwanamke chake ni kipigo, haya mambo ya beijing sijui haki za wanawake na watoto yamekuja kuharibu kila kitu. Nina dingi mdogo alikuwa akiingia home kuanzia mke hadi watoto ni kimya hakuna hata kukohoa. Watoto ambao walikuwa wanalia wote watakaa kimya na kufuta machozi fasta na madaftari yatatafutwa waanze kujisomea. Unakuta mke anawajua hadi mademu zake lakini hathubutu kufungua hata mdomo...
Duh!..hilo ni gereza sio familia.Mwanamke chake ni kipigo, haya mambo ya beijing sijui haki za wanawake na watoto yamekuja kuharibu kila kitu. Nina dingi mdogo alikuwa akiingia home kuanzia mke hadi watoto ni kimya hakuna hata kukohoa. Watoto ambao walikuwa wanalia wote watakaa kimya na kufuta machozi fasta na madaftari yatatafutwa waanze kujisomea. Unakuta mke anawajua hadi mademu zake lakini hathubutu kufungua hata mdomo...
Utakuwa unatokea Mara au kanda ya ziwa kwa ujumla ni maeneo ya kihafidhina na haki za binadamu ni sawa na haki za ng’ombe.Mwanamke chake ni kipigo, haya mambo ya beijing sijui haki za wanawake na watoto yamekuja kuharibu kila kitu. Nina dingi mdogo alikuwa akiingia home kuanzia mke hadi watoto ni kimya hakuna hata kukohoa. Watoto ambao walikuwa wanalia wote watakaa kimya na kufuta machozi fasta na madaftari yatatafutwa waanze kujisomea. Unakuta mke anawajua hadi mademu zake lakini hathubutu kufungua hata mdomo...
Nyie wanawake mkiendeshwa kijeshi ndo mnatia akili, mbali na hapo ndo tunashuhudia changamoto lukuki za kimahusianoInasikitisha!
Huko majumbani kumbe mnaishi na punda na ng'ombe
Wabeijing hawa wa zama hizi sio watu Mkuu..utafungwa maisha kisa umechoma mtu gunia za mkaa mbiliNyie wanawake mkiendeshwa kijeshi ndo mnatia akili, mbali na hapo ndo tunashuhudia changamoto lukuki za kimahusiano
Kuna siku kijana mmoja alinifuata kwao kulikuwa na shida ya mifugo, basi kufika tu nikakuta lundo la wanawake na alikuwa anamiliki mbuzi zaidi ya 30. Katika udadisi wangu nikagundua hapo ni kwa mganga wa kienyeji na wale ni wateja wake na hao mbuzi ndo miongoni mwa zile sadaka anazoagiza mganga na ndo ilivyokuwa, wanawake ni washirikina hatari....Wanawake wanapishana kwa waganga kuenda kuloga! Wanawake hata vibinti vidogo vinavyodanga vina mairizi kuwaloga wanaume! Ukiuliza waganga watakwambia ukweli kati ya wanaume na wanawake wateja wao wengi ni akina nani watakwambia WANAWAKE! Na wanawake wakienda kwa waganga wanaenda kwa jambo moja tu KULOGA WANAUME na wala si biashara wala uchumi. Wengine wanaloga waume zao wafukuzwe kazi na wafilisike ili akae nyumbani eti ndo atatulia mwisho wa siku familia inakuwa fukara wa kutupwa! Wanaume wengi wanaojikuta wamefukuzwa kazi na kufirisika utakuta alilogwa na mkewe ili sijui hasipeleke hela kwa michepuko na nyumba ndogo bila kujua mathara hayo yataikumba familia yake pia! Haya yoote nimeyaona na nimeyaishi!
Teh....ulozi unawasaidia kuwapumbaza wanaume, vinginevyo mngekuwa mnachezea kichapo hatari.Wabeijing hawa wa zama hizi sio watu Mkuu..utafungwa maisha kisa umechoma mtu gunia za mkaa mbili
Hatari sanaKuna siku kijana mmoja alinifuata kwao kulikuwa na shida ya mifugo, basi kufika tu nikakuta lundo la wanawake na alikuwa anamiliki mbuzi zaidi ya 30. Katika udadisi wangu nikagundua hapo ni kwa mganga wa kienyeji na wale ni wateja wake na hao mbuzi ndo miongoni mwa zile sadaka anazoagiza mganga na ndo ilivyokuwa, wanawake ni washirikina hatari....