Wanaume tumuige Sadio Mane kwenye ndoa

Wanaume tumuige Sadio Mane kwenye ndoa

Habari zenu,

Ukizungumzia Wachezaji wenye Hekima na Kujali watu basi huwezi kuacha kumtaja Msenegal Sadio Mane.

View attachment 2866878

Mane amekuwa ni msaada kwa jamii yake na ametufundisha kitu kwenye mahusiano pia, kitu alichotufundisha ni kwamba unapooa pambana upate Mwanamke ambae ni Mpya na asiekuwa na mapito ya hovyo.

Ni matumaini yangu kuwa Bwana Mane amekuta mzigo New na amekata utepe yeye mwenyewe kwa mke wake.

Nb. Sadio Mane ameoa Binti wa Miaka 18.

MIMI MJANJA M1 NAMPA PONGEZI SADIO MANE NA NITAJITAHIDI KUFUATA NJIA ZAKE (AMEN).
Sadio mane
Kashinda EPL, Bundealiga,AFCON,UEFA, UEFA SUPER CUP, CLUB FIFA WORLD CUP Top scorer EPL...N.K

He's our hero pale Liverpool na Kule Kwao Senegal ni mpenda na mtenda maendeleo Acha ainjoy na kaoa bonge la pisi....
Kazi kweli kweli/Job true true
 
Hata asingesomesha ila kwa mane alivyojitoa kwa watu wake na kwa wazazi wetu wa kiafrica, hapo hata binti angekataa posa yani kabla hajamalizia kauli kashapigwa kibao kitakatifu ili ubongo ukae sawa 😁😁😁
Akiii pesa wewe! Nisikushike! 🤣🤣🤣
 
Mwamba amejitambua sana, wachezaji wengi wanaoa whites na kuishia pabaya, ref. Emanuel Ebue...

Sema sasa kanunua vanguard kwenye makaratasi kabisa, yaani unyunyu wa ndinga na zero km!!
 
Mane 32 mke wake 18 hiyo ndio ndoa sasa lazima heshim iwepo ndani ya nyumba na yeye ndio anamsomesha mpaka hivi sasa nakamchumbia tangu binti ana miaka 16

Anampotezea mwenzie future ya shule

Alishachoka atamuongezea mwingine

Sion cha kujifunza na hata mzazi aliyemuozesha mtoto wake itakuwa ni shida za maisha

Binti alitakiwa kuwa darasin na sio kuhudumia mume
 
Back
Top Bottom