Wanaume tumuige Sadio Mane kwenye ndoa

Sadio mane
Kashinda EPL, Bundealiga,AFCON,UEFA, UEFA SUPER CUP, CLUB FIFA WORLD CUP Top scorer EPL...N.K

He's our hero pale Liverpool na Kule Kwao Senegal ni mpenda na mtenda maendeleo Acha ainjoy na kaoa bonge la pisi....
Kazi kweli kweli/Job true true
 
Hata asingesomesha ila kwa mane alivyojitoa kwa watu wake na kwa wazazi wetu wa kiafrica, hapo hata binti angekataa posa yani kabla hajamalizia kauli kashapigwa kibao kitakatifu ili ubongo ukae sawa 😁😁😁
Akiii pesa wewe! Nisikushike! 🀣🀣🀣
 
Mwamba amejitambua sana, wachezaji wengi wanaoa whites na kuishia pabaya, ref. Emanuel Ebue...

Sema sasa kanunua vanguard kwenye makaratasi kabisa, yaani unyunyu wa ndinga na zero km!!
 
Mane 32 mke wake 18 hiyo ndio ndoa sasa lazima heshim iwepo ndani ya nyumba na yeye ndio anamsomesha mpaka hivi sasa nakamchumbia tangu binti ana miaka 16

Anampotezea mwenzie future ya shule

Alishachoka atamuongezea mwingine

Sion cha kujifunza na hata mzazi aliyemuozesha mtoto wake itakuwa ni shida za maisha

Binti alitakiwa kuwa darasin na sio kuhudumia mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…