Wanaume tuna kazi sana, huyu mwenzetu aliwekwa kweye chupa na kutupwa baharini

Wanaume tuna kazi sana, huyu mwenzetu aliwekwa kweye chupa na kutupwa baharini

Ndio maana mjomba wa rafiki yangu kasoma Havard bwana bwana yani kama kasoma zoom college haya mambo hatari ndugu wakigusa kwawe unaulizwa lini unarudi na nauli ya kurudi uwe nayo huyo mke wake ukimbishia tu utaumwa nusu uwe chizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee balaa hilii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply..........sio Kama hatujali familia au tunakimbia majukumu tunapitia mengi sana sisi wanaume wanawake muwe mnaelewa sometimes
 
Watu wanaoamini story za kusadikika za uchawi/ushirikina/wanga/ulozi ni wajinga sana.

Mimi naweza mpa mtu album nzima na kumsindikiza kabisa huko baharini na lolote lisinitokee sababu uchawi haupo ila watu wajinga wapo.
 
Fungua chupa umtoe sasa... unangoja nini...

Usikute ni wewe mwenyewe ndiyo umeenda kumfanyia mwenzako hivyo...

Picha ndani ya chupa ni ya wakiume, ila huyo aliyesimama hapo wa wa kike...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom