Wanaume tuna kazi sana, huyu mwenzetu aliwekwa kweye chupa na kutupwa baharini

Wanaume tuna kazi sana, huyu mwenzetu aliwekwa kweye chupa na kutupwa baharini

Wanaume matajiri tunapaswa kuwa makini Sana,utajiri some time unatia hofu Sana Kama mimi hapa sitaki kabisa kuoa nanunua tu malaya ila nimeshazalisha wanawake watatu,mtu umepambana umekuwa tajiri,unaoa mwanamke anakuroga Kama hivi,kwa mwendo huu ubachela siachi

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa mda wote anainamisha kichwa..Hana msemo mbele ya bibie..hao ndio watoto wa tanga.
 
Back
Top Bottom