Atakuwa amepambana sana, kama sio yeye basi ndugu zake.Bila shaka nae jamaa ni chuma,, sio jambo la kitoto chupa kuletwa na mawimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
TAAA JIII RIIIWanaume matajiri tunapaswa kuwa makini Sana,utajiri some time unatia hofu Sana Kama mimi hapa sitaki kabisa kuoa nanunua tu malaya ila nimeshazalisha wanawake watatu,mtu umepambana umekuwa tajiri,unaoa mwanamke anakuroga Kama hivi,kwa mwendo huu ubachela siachi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi hao uliozalisha hawezi kukurogaWanaume matajiri tunapaswa kuwa makini Sana,utajiri some time unatia hofu Sana Kama mimi hapa sitaki kabisa kuoa nanunua tu malaya ila nimeshazalisha wanawake watatu,mtu umepambana umekuwa tajiri,unaoa mwanamke anakuroga Kama hivi,kwa mwendo huu ubachela siachi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mjomba wa rafiki yangu kasoma Havard bwana bwana yani kama kasoma zoom college haya mambo hatari ndugu wakigusa kwawe unaulizwa lini unarudi na nauli ya kurudi uwe nayo huyo mke wake ukimbishia tu utaumwa nusu uwe chizi
Sisi wakinga hatuwekeki hata usijisumbue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki muweke tu maana hamna namna nyingine. Ukimpata mtaalamu nistue na mimi nimuweke sawa MO11
Huwa simuamini.nikujibu nini sasa ?
sista kashakwambia hapo juu
muamini kuanzia leoHuwa simuamini.
Akuuuu! Najua we mchaga.muamini kuanzia leo
mkinga pure kabisaAkuuuu! Najua we mchaga.