Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Duuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume matajiri tunapaswa kuwa makini Sana,utajiri some time unatia hofu Sana Kama mimi hapa sitaki kabisa kuoa nanunua tu malaya ila nimeshazalisha wanawake watatu,mtu umepambana umekuwa tajiri,unaoa mwanamke anakuroga Kama hivi,kwa mwendo huu ubachela siachi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mapembelo!mkinga pure kabisa
HapanaKumbe mapembelo!
Watu wanaoamini story za kusadikika za uchawi/ushirikina/wanga/ulozi ni wajinga sana.
Mimi naweza mpa mtu album nzima na kumsindikiza kabisa huko baharini na lolote lisinitokee sababu uchawi haupo ila watu wajinga wapo.
Mweeeh!! Haya baba.Hapana
sisi ni wa ghonewao
Haha kazi ipoInadaiwa chupa hizi moja ikiwa na picha zimekutwa kwenye moja ya fukwe huko Tanga
Inaashiria zimerejeshwa nchi kavu na mawimbi ya bahati