Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Waachieni tu laana wasipobadilika
USA 🇺🇸 babyMimi sina hicho kilio.
Nikiwa mume wako nitakuroga tupendwe sawaNi kweli ...huo ni ubaguz na uvunjaji ndo kwa wazazi wetu.Mungu nisaidie yasinikute nikapendelewa sana mimi kuliko mume
Hii comment ijengewe mnara wa dhahabu, juu iwekewe pink pearlWaachieni tu laana wasipobadilika