Wanaume tunadhalilishwa sana na wanawake huku mitaani

Wanaume tunadhalilishwa sana na wanawake huku mitaani

Kwasasa wanawake wanatutaka kwa lazima utake usitake

Zaman wanaume ndo tulikuwa tunatoa mimacho kwa kumwangalia mwanamke kwa kumtamani lakin siku hz wanawake ndo wanatoa mimacho
 
🤣😂🤣 we ulikuja na stori yako sasa.
Siti ya mbele haikufai
hahahhha Noma Sana mwanzo kichwa Cha habari kilisomeka Vatican:Wanaume tunadhalilishwa Sana kabla hawajaedit kichwa Cha habari ndio maana nikaja mbio nikidhani Vatican ya Roma kumbe ya Kinondoni!
😁😁😁😁🔥
 
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,

Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,

Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa analivaibureti kama wale dancer wa snura kwenye wimbo wa chura jamaa akabaki kaduwaa tu manake almost kila mtu alikuwa akitazama tukio hilo,

Tukio la pili demu mwingine kamkuta jamaa anasubiri msosi wake wa nyama ya kuku alioutolea oda uive asepe mara kanakuja kademu kamevaa nusu uchi kanaanza kujinyonga nyonga huku kaki force near body to body contact jamaa akaduwaa na kuanza kujiuliza hiki nini jamani ila eventually jamaa alichukua msosi wake na kusepa zake,

Sielewi wanawake wanatuchukuliaje manake huku ni kutudhalilisha ni kama vile SWALA amkimbize SIMBA .

UZI TAYARI.
Naunga mkono hoja...
 
Back
Top Bottom