Infiniteposibilities
Senior Member
- Jan 31, 2018
- 141
- 218
Njooni mbishe kama ni uongo.Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana.Anapoona jinsia ya kike iwe ni picha au mwanamke halisi ambaye ni mrembo ataishia kumsifia na kumtamani bila hata kijiuliza background ya huyo mwanamke.
Mfano mwanaume kaona mdada mzuri barabarani awe mwanachuo, mwanamuziki/mtangazaji/video vixen au muigizaji mkali mwenye sauti nzuri au umbo zuri basi ataishia kutamani awe mpenzi wake.Yani anaona angekuwa nae angemfaidi sana.
Je, umewahi kijiuliza historia(background) na tabia za a huyo mwanamke unaemtamani.Unaona tu vya juu juu kisha unakurupuka kuuchosha moyo na hisia zako.
Vip ungekuwa unajua kuwa huyo unaejidai kumzimia ni katili vibaya na alishawahi kutoa mimba kadhaa au ni mchawi na mshirikina kila wakati ni kwa waganga kuloga nduguze na majirani.
Au ni mwanamke gaidi,tapeli,muongo, asiyependa wakwe zake.Au ni mwanamke malaya asiyekaa na mwanaume mmoja.Au kwao kuna laana na kila mwanaume anayefall in love na yeye lazima akate moto.
Hiyo ni mifano tu najaribu kukuonesha mwanaume mwenzangu vile tunavyofeli kwa kutanguliza macho mbele na moyo nyuma.
Wanawake wanatuzidi hapa.Wao ni moyo mbele macho nyuma.Hajakupenda kama hujajaa moyoni mwake.Hakupi maisha yake bila kupata uhakika ndani ya moyo wake.Atakuchunguza in and out apate kujua mapumgufu na ubora wako kama utamfaa lakini wewe kama mwanaume unaishia kuchunguza hips,nyashi,miguu na madudu mengine yasiyo na maana.Mwishowe unaambulia za uso unabaki kusema 'ningejua'?.