WANAUME TUNAFELI HAPA

WANAUME TUNAFELI HAPA

Infiniteposibilities

Senior Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
141
Reaction score
218
Njooni mbishe kama ni uongo.Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana.Anapoona jinsia ya kike iwe ni picha au mwanamke halisi ambaye ni mrembo ataishia kumsifia na kumtamani bila hata kijiuliza background ya huyo mwanamke.

Mfano mwanaume kaona mdada mzuri barabarani awe mwanachuo, mwanamuziki/mtangazaji/video vixen au muigizaji mkali mwenye sauti nzuri au umbo zuri basi ataishia kutamani awe mpenzi wake.Yani anaona angekuwa nae angemfaidi sana.

Je, umewahi kijiuliza historia(background) na tabia za a huyo mwanamke unaemtamani.Unaona tu vya juu juu kisha unakurupuka kuuchosha moyo na hisia zako.

Vip ungekuwa unajua kuwa huyo unaejidai kumzimia ni katili vibaya na alishawahi kutoa mimba kadhaa au ni mchawi na mshirikina kila wakati ni kwa waganga kuloga nduguze na majirani.

Au ni mwanamke gaidi,tapeli,muongo, asiyependa wakwe zake.Au ni mwanamke malaya asiyekaa na mwanaume mmoja.Au kwao kuna laana na kila mwanaume anayefall in love na yeye lazima akate moto.

Hiyo ni mifano tu najaribu kukuonesha mwanaume mwenzangu vile tunavyofeli kwa kutanguliza macho mbele na moyo nyuma.

Wanawake wanatuzidi hapa.Wao ni moyo mbele macho nyuma.Hajakupenda kama hujajaa moyoni mwake.Hakupi maisha yake bila kupata uhakika ndani ya moyo wake.Atakuchunguza in and out apate kujua mapumgufu na ubora wako kama utamfaa lakini wewe kama mwanaume unaishia kuchunguza hips,nyashi,miguu na madudu mengine yasiyo na maana.Mwishowe unaambulia za uso unabaki kusema 'ningejua'?.
 
Wanawake wanatuzidi hapa.Wao ni moyo mbele macho nyuma.Hajakupenda kama hujajaa moyoni mwake.Hakupi maisha yake bila kupata uhakika ndani ya moyo wake.Atakuchunguza in and out apate kujua mapumgufu na ubora wako kama utamfaa lakini wewe kama mwanaume inaishua kuchunguza hips,nyashu,miguu na madudu mengine yasiyo na maana.Mwishiwe unaambulia za uso unabaki kusema 'ningejua'?.
Hapo kufeli kumetoka wapi?

Wewe unaweza kupingana na nature!

unadhani bila 'asili' kutulazimisha kuwapapatikia wanawake, solar system si ingelicolapse hii?

Ukisikia 'Mungu fundi' maana yake ndiye aliyeweka kanuni hizo.

Usipende kuhoji ama kujadili mambo yaliyo nje ya upeo wa maamuzi ya binadamu.
 
Njooni mbishe kama ni uongo.Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana.Anapoona jinsia ya kike iwe ni picha au mwanamke halisi ambaye ni mrembo ataishia kumsifia na kumtamani bila hata kijiuliza background ya huyo mwanamke.

Mfano mwanaume kaona mdada mzuri barabarani awe mwanachuo, mwanamuziki/mtangazaji/video vixen au muigizaji mkali mwenye sauti nzuri au umbo zuri basi ataishia kutamani awe mpenzi wake.Yani anaona angekuwa nae angemfaidi sana.

Je, umewahi kijiuliza historia(background) na tabia za a huyo mwanamke unaemtamani.Unaona tu vya juu juu kisha unakurupuka kuuchosha moyo na hisia zako.

Vip ungekuwa unajua kuwa huyo unaejidai kumzimia ni katili vibaya na alishawahi kutoa mimba kadhaa au ni mchawi na mshirikina kila wakati ni kwa waganga kuloga nduguze na majirani.

Au ni mwanamke gaidi,tapeli,muongo, asiyependa wakwe zake.Au ni mwanamke malaya asiyekaa na mwanaume mmoja.Au kwao kuna laana na kila mwanaume anayefall in love na yeye lazima akate moto.

Hiyo ni mifano tu najaribu kukuonesha mwanaume mwenzangu vile tunavyofeli kwa kutanguliza macho mbele na moyo nyuma.

Wanawake wanatuzidi hapa.Wao ni moyo mbele macho nyuma.Hajakupenda kama hujajaa moyoni mwake.Hakupi maisha yake bila kupata uhakika ndani ya moyo wake.Atakuchunguza in and out apate kujua mapumgufu na ubora wako kama utamfaa lakini wewe kama mwanaume unaishia kuchunguza hips,nyashi,miguu na madudu mengine yasiyo na maana.Mwishowe unaambulia za uso unabaki kusema 'ningejua'?.
Wanaume hisia zetu zinaanza kwa kuona kwanza, hakuna mwanaume anaependa bila kuvutiwa kwanza na mambo yanayoonekana kwa nje. Kwa mwanaume kuona ndo kipaumbele cha hisia, mashine haisimami kwa urahisi bila kuona kwa macho kwanza.
 
Nature ya wanaume ni kutoridhika na mwanamke moja hiv mambo ya kujua background huchelewesha mambo mzee unataka ujue background kuwa unataka kumuoa
Wewe uliza namba omba mzigo piga hata jina usiulize
 
Mihemko yako iliyopitiliza ndio usingizie nature.You must have self control.

Uzi Bila picha ni fekelo Ebu tuonyeshe Sampo za hao wadada
 
Wanaume hisia zetu zinaanza kwa kuona kwanza, hakuna mwanaume anaependa bila kuvutiwa kwanza na mambo yanayoonekana kwa nje. Kwa mwanaume kuona ndo kipaumbele cha hisia, mashine haisimami kwa urahisi bila kuona kwa macho kwanza.
Vice versa Visimi vinasimama baada ya kuona Noti kwanza pochi nene
 
Nature ya wanaume ni kutoridhika na mwanamke moja hiv mambo ya kujua background huchelewesha mambo mzee unataka ujue background kuwa unataka kumuoa
Wewe uliza namba omba mzigo piga hata jina usiulize
Duh! Kumbe ndio maana ARVs hazikosi soko
 
Mihemko yako iliyopitiliza ndio usingizie nature.You must have self control.
Shauri yako sasa.
Hivi unaweza ukamtamani mwanamke kipendaroho bila kulazimishwa na msukumo asilia ambao wewe unayehemka kutamani huwezi kuizuia hali hiyo isikutokee?
 
Wanaume hisia zetu zinaanza kwa kuona kwanza, hakuna mwanaume anaependa bila kuvutiwa kwanza na mambo yanayoonekana kwa nje. Kwa mwanaume kuona ndo kipaumbele cha hisia, mashine haisimami kwa urahisi bila kuona kwa macho kwanza.
Je wasioona huwa hawasimanishi?
 
Kumtamani haihitimishi kuwa ndio umempata.Hiki kipindi kati ya kumtamani hadi kumtongoza ndio kingetumika vyema kuinvestigate her background and her behaviours
 
Hayo mambo aliyoyafanya siku za nyuma hayanihusu sana sana nachunguza kama nyuma kumejaaliwa
1000012957.jpg
 
Back
Top Bottom