Wanaume tunaibiwa sana kuanzia leo sitaki mwanamke anayepaka make up

Wanaume tunaibiwa sana kuanzia leo sitaki mwanamke anayepaka make up

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
images%281%29.jpg
%255BUNSET%255D.jpg
images%282%29.jpg

Nimempata demu mkali sasa aliponawa uso tu uzuri wako wote akauacha kwenye sink
 
Ukipenda mtu kwa sababu ya makeup jiandae kumuacha siku akipoteza makeup.

Jambo moja litakusaidia..Kasome sifa za mwanamke bora kwenye maandiko.
 
Back
Top Bottom