Wanaume tunaibiwa sana kuanzia leo sitaki mwanamke anayepaka make up

Wanaume tunaibiwa sana kuanzia leo sitaki mwanamke anayepaka make up

Mkuu picha ya pili hapo ni mtu na mama yake mzazi nadhani.
 
Hiyo picha ya kwanza sijaona tofauti kubwa labda hizo alama usoni ila yuko poa zikiisha
 
Ukipenda mtu kwa sababu ya makeup jiandae kumuacha siku akipoteza makeup.

Jambo moja litakusaidia..Kasome sifa za mwanamke bora kwenye maandiko.
Leo nakufanyia reconciliation ya wiki nzima.
 
Back
Top Bottom