Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
- Thread starter
- #61
Hahaaaaa!!!! Usiangalie mapamboNa mwanamke ajipambe...
Hata biblia imenena hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa!!!! Usiangalie mapamboNa mwanamke ajipambe...
Hata biblia imenena hivyo.
NdoDuh.....
shikamoo,hahahahahahDuh.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mmoja nlikua nae
Sasa nkawa namwambia Kila sku stak upake hyo mikorongo
yako kwakua tulikua mbali mbali
Bhas akawa anajipaka ltu
Cku tunaonana nlimwambia
Chukua zako 50 tu
Hahaaaaa!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana mimi mambo ya make up nimepiga marufukuahahhaha aisee!! Mkuu Duke Tachez umeongelea mada moja yenye kuhitaji mjadala wa kina sana, na ndio maana ndoa nyingi hazidumu kwa sababu huwa tunauziwa mbuzi kwenye gunia, mtoto mnaonana kazini tu anakuja anawaka kama jua la jangwani unashusha nondo kali kama za Controller Audit General (CAG) unakubaliwa kidogo harusi..... hapo unakuja kugundua the true color ya mama kijacho, aiseeee!!! aisee!! mfanyakazi mwenzangu alioa harusi ikafana sana kula kunywa hadi kusaza wazee wanateremsha maji ya mende wanamsifia bi harusi kwamba jamaa kajua kuchagua mwanzo mwisho, fungate limeisha siku ya kwanza jamaa anakuja na mamsapu wake job kumuonyesha kibaruani kwake, walivyoondoka huku nyuma ukazuka mjadala mkubwa sana ndie yeye ama sie? aiseee kaka Duke Tachez.....
HahahaView attachment 742789View attachment 742791View attachment 742792
Nimempata demu mkali sasa aliponawa uso tu uzuri wako wote akauacha kwenye sink