Wanaume tunakwama wapi?

Wanaume tunakwama wapi?

Ana watoto 102 ila watoto 101 siyo wake kasingiziwa
Kwa umri wake wanaweza kuwa wake lakini angekuwa chini hapo mhmh mhmh wapo busy social media muda wakupata watoto wote hao wautoe wapi![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pongezi kwake maana wengine mke mmoja tu mpaka kwa mjumbe wanafika hawezi kitu nani zimechoka kama mkate uliolowekwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Z
Suluhisho ni kuwa mkulima na mfugaji
Ni kweli, ila zamani option hyo ilikuwa better kwa sababu mvua ilikua promising, kwa sasa kilimo kinahitaji equipment nyingi ili ufanye irrigation, bado ardhi bikra ipo, ila kuiandaa inahitaji mtaji , teh.
 
Kina Baba na babu walikuwa wakiwafundisha watoto na wajukuu, sasa siku hizi mwanaume anasusa kweli? Na kununa juu, unategemea huko kunako kutafanyika kitu si ndiyo Baba analala mzungu wa 4! Sahizi kaeni na watoto wenu wapewe skill za maisha.
[emoji23][emoji23][emoji23] skills za kulazimisha mapenzi kwa mtu asiyekutaka, kila mtu ale alipo peleka mboga. Maisha yanitie stress, aje mtu sijazaliwa naye pia anisumbue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwani tulizaliwa wote au tutakufa kwa pamoja. Nyie mnasema kununa, sisi tunasema kufocus na ndoto zangu nasio kumfurahisha mwanamke.
 
We unakutana na wanaume wa namna gani hao, mbona povu. Hivi tungekuwa hatuna nguvu za kiume mngelalamika kuwa tunamichepuko?
Pongezi kwake maana wengine mke mmoja tu mpaka kwa mjumbe wanafika hawezi kitu nani zimechoka kama mkate uliolowekwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] skills za kulazimisha mapenzi kwa mtu asiyekutaka, kila mtu ale alipo peleka mboga. Maisha yanitie stress, aje mtu sijazaliwa naye pia anisumbue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwani tulizaliwa wote au tutakufa kwa pamoja. Nyie mnasema kununa, sisi tunasema kufocus na ndoto zangu nasio kumfurahisha mwanamke.
Sasa unaishi naye wa nini!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
We unakutana na wanaume wa namna gani hao, mbona povu. Hivi tungekuwa hatuna nguvu za kiume mngelalamika kuwa tunamichepuko?
Kwani kuchepuka ndiyo kuwa na nguvu za kiume? Halafu mie sijaongelea nguvu za kiume usiniwekee maneno mdomoni.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unaishi naye wa nini!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Nani kakwambia amemlazimisha kuishi na mimi, sikajileta kwa maigizo kuwa amemature na mtulivu. Chaajabu kaja kukengeuka, unatulia ajirekebishe mwenyewe ikishindikana anaondoshwa, nitaachaje malengo yangu kwaajili yake.
 
Back
Top Bottom