Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Ooh that's sounds so nice,Wahuni walipita na simu yangu weekend,nimerudi hewani lkn totoo.Dada nakumiss [emoji7][emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh that's sounds so nice,Wahuni walipita na simu yangu weekend,nimerudi hewani lkn totoo.Dada nakumiss [emoji7][emoji7]
Pole sana, nami ijumaa wameniliza simu ya zawadiOoh that's sounds so nice,Wahuni walipita na simu yangu weekend,nimerudi hewani lkn totoo.
Kwa umri wake wanaweza kuwa wake lakini angekuwa chini hapo mhmh mhmh wapo busy social media muda wakupata watoto wote hao wautoe wapi![emoji23][emoji23][emoji23]Ana watoto 102 ila watoto 101 siyo wake kasingiziwa
Ooh that's sounds so nice,Wahuni walipita na simu yangu weekend,nimerudi hewani lkn totoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pongezi kwake maana wengine mke mmoja tu mpaka kwa mjumbe wanafika hawezi kitu nani zimechoka kama mkate uliolowekwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mimi ijumaa...wapuuzi wamojaPole sana, nami ijumaa wameniliza simu ya zawadi
Shenzy kabisa!Pole, wahuni walaaniwe kabisaa
Shenzy kabisa!
Ni kweli, ila zamani option hyo ilikuwa better kwa sababu mvua ilikua promising, kwa sasa kilimo kinahitaji equipment nyingi ili ufanye irrigation, bado ardhi bikra ipo, ila kuiandaa inahitaji mtaji , teh.Suluhisho ni kuwa mkulima na mfugaji
[emoji23][emoji23][emoji23] skills za kulazimisha mapenzi kwa mtu asiyekutaka, kila mtu ale alipo peleka mboga. Maisha yanitie stress, aje mtu sijazaliwa naye pia anisumbue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwani tulizaliwa wote au tutakufa kwa pamoja. Nyie mnasema kununa, sisi tunasema kufocus na ndoto zangu nasio kumfurahisha mwanamke.Kina Baba na babu walikuwa wakiwafundisha watoto na wajukuu, sasa siku hizi mwanaume anasusa kweli? Na kununa juu, unategemea huko kunako kutafanyika kitu si ndiyo Baba analala mzungu wa 4! Sahizi kaeni na watoto wenu wapewe skill za maisha.
Pongezi kwake maana wengine mke mmoja tu mpaka kwa mjumbe wanafika hawezi kitu nani zimechoka kama mkate uliolowekwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unaishi naye wa nini![emoji23][emoji23][emoji23] skills za kulazimisha mapenzi kwa mtu asiyekutaka, kila mtu ale alipo peleka mboga. Maisha yanitie stress, aje mtu sijazaliwa naye pia anisumbue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwani tulizaliwa wote au tutakufa kwa pamoja. Nyie mnasema kununa, sisi tunasema kufocus na ndoto zangu nasio kumfurahisha mwanamke.
Kwani kuchepuka ndiyo kuwa na nguvu za kiume? Halafu mie sijaongelea nguvu za kiume usiniwekee maneno mdomoni.We unakutana na wanaume wa namna gani hao, mbona povu. Hivi tungekuwa hatuna nguvu za kiume mngelalamika kuwa tunamichepuko?
Umeongelea Nini?Kwani kuchepuka ndiyo kuwa na nguvu za kiume? Halafu mie sijaongelea nguvu za kiume usiniwekee maneno mdomoni.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Nani kakwambia amemlazimisha kuishi na mimi, sikajileta kwa maigizo kuwa amemature na mtulivu. Chaajabu kaja kukengeuka, unatulia ajirekebishe mwenyewe ikishindikana anaondoshwa, nitaachaje malengo yangu kwaajili yake.