Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mara hatuna nguvu, mara kimoja chalii, mara sitaki watoto wengi n.k
Haya sasa, huyu ndiye mwanaume wa shoka anayetakiwa kuigwa na wanaume rijali, na mimi kama equation x nitafuata nyayo zake.Kuhusu nitawalisha nini; msiniulize, jaribuni kumuuliza huyu alikuwa anawalisha nini!
Nb: Dunia inatakiwa ijae watu, na si mawe wala mapori; haya kazi kwenu