mkeyamasai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 362
- 132
Na huyo mnyonya maku asishangae siku akiamka na mapele mdomoni yasiyokua na dawa alaf aanze kusema ni homa za usiku kumbe sio, wengi wetu hatujui herpes za mdomoni unaweza kupata kwa kunyonya maku,Sikuhizi hata kiss naogopa kuna madem kubadilishana tu mate tu kesho unaamka na tonses.
Magonjwa ni mengi mno sikuhizi chief.