Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyama ni mwingi yaniMpaka wifi akikuhug anaenda na smell yako..
Inapendeza kama ni OG ila wengine wanakuwaga mikate 😀Oh no.. mwanaume uchebe muhimu
Ewe nchaka halafu kudeda usembo lu koandika kunu eh?Kida mnama 😅😅😅
😁😁😁😁Naona chenga mangi me najua lugha ya taifa tuKwani nyi nchaka ooh kihoso, mimi mtoto wa mjini acha maneno yako arawaaa, tumekulia mjini kaka 😅😅😅
Ni maoni tuu mkuu!Mkuu umemuelewa kweli au umempa faraja tu 😂😂
Mwanaume wa kweli havai saa, anaangalia jua au kivuli anajua ni saa ngapi😃Kidume urembo uishie kwenye kuvaa saa tu na nguo smart
Hahahahahah kweli baloziMwanaume wa kweli havai saa, anaangalia jua au kivuli anajua ni saa ngapi😃