Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ipi iyo kuchomelea mageti au?Kazi ninayo fanya muda mwingi inanitaka niwe smart sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi iyo kuchomelea mageti au?Kazi ninayo fanya muda mwingi inanitaka niwe smart sana.
NAKAZIAHizo hereni, kusuka nk ni vitu vya kikekike
Hivi vyote wanaume wanatumia?Mimi pia hereni sivai kaka lakini wanao vaa siwapangii.
Tatoo sichorii
Bleach sipaki
Make up sipaki
Kucha sipaki
Rasta sifugi
Vingine vyote vilivo baki nafanya.
Itabid nikusapot sikuKuuza nguo na viatu.
Mmmh sina uhakika kiongozi
Duh hongera zaoAngalia hapo wapo wanao tumia
Hii umeniangusha! Mwanamke huvaa hereni ili atongozwe, wewe je unatafuta mabwana?Salaam!
Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya.
Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively.....
Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na mipaka.
Hususani sie wanaume, kwa sababu wakuu vipo vingi venye urembo na urembo ni addiction huvuta hisia na fahamu zetu na kuzidi kuvutiwa eg...(nimeeleza ni kwa namna gani urembo unavomfurahisha mtu kwa kuteka hisia zake).
1.Twapenda cheni,
2.saa nzuri,
3.mikanda mizuri,
4.perfumes,
5.kunyoa vizuri na kuweka nywele sawa,
6.kucha ziwe neat,
7. body liwe sexy yaani chest and packs ziwe formed well,
8.kuhusu nguo na viatu ndiyo funga kazi.
9.Hereni za kiume pia ziangaliwe siyo kuvaa hereni kila kona, hereni zivaliwe harusini tu au kwenye parties...wanawake hawana limits ya kuvaa hereni.
for real this fantasy will kill one oooh 😅 in nigerian voice 'one man down'
Sweet life needs to be better prepared,
kingine ni kuwa hakikisha mwanaume unapo pendeza basi lazima uwe na demu yaani chick ni lazima ili uwe na opposition la sivyo utaanza kuvaa vibukta wenyewe tunaita vinjuga na vilapa vya kina careen afu uanze kununua hereni na kusuka mara vitatoo uchwara shingon, mara hivi mara uanze kubinua binua tutako na tusuruale ushenzi tushuke chini😅😅😅😅
Hapo ndiyo nitauliza "Huko Shureni Mrisomea Ujinga" 🤣🤣😂😂
Angalizo:
Wengi hudhani kupoteza ubingwa ni kwa kupenda huja automatically kwa life styles za kila siku.... pia epuka kwenda kwenda saloon za kike na kukaa na group za ladies, hii kitu naona ya kusuka rasta inanipa wasiwasi... rasta fulani mtu anawaka 😅
Bas kaz ipoNi priorities zao pia siwapangii.
machoko ndiyo wanavaa hereni na kusuka.Tatizo upo negative mkuu, unaelewa maana ya kuvutiwa na kitu.