Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri umetolea maelezo kwamba hawavai hereni wala vikukuu lakini ni manjemba yamekata na yapo gym, sura za kazi foward hazipiti, lakini sasa washaaga ubigwa wanapumuliwa kisogoni.Kupoteza ubingwa ni hulka na hiyari ya mtu.
Wapo walio poteza ubingwa na wamesha kubuhu, ila hawana haya mnayo yasema hapa.
Na kunukia
Na kunyoa vizuri
Na kuwa ndevu vizuri
Akiongeza tu amekuwa Lokole
Wewe mwehu unataka kusemaje [emoji28][emoji28][emoji28]
Uzi umekaa kama magazijuto,Uzi umekaa kimitego tego anayeandika kama vile kaaga mashindano japo anajaribu kutoa ushauri
huyu atakuwa kundi moja na yule msemaji wa walimu wa jf.Uzi umekaa kimitego tego anayeandika kama vile kaaga mashindano japo anajaribu kutoa ushauri
Hakunaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mwehu unataka kusemaje [emoji28][emoji28][emoji28]
Na wanahemewa mgongoni, mfano Afande rama, chipo kidali, na dereva boda.Vizuri umetolea maelezo kwamba hawavai hereni wala vikukuu lakini ni manjemba yamekata na yapo gym, sura za kazi foward hazipiti, lakini sasa washaaga ubigwa wanapumuliwa kisogoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaahJana nimekutana na classmate wangu wa chuo asee mwamba kavaa hereni na nyusi katinda naona kabisa ubingwa hakuna pale
Uandishi wako wa twa na sie dah unatia ukakasiSalaam!
Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya.
Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively.....
Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na mipaka.
Hususani sie wanaume, kwa sababu wakuu vipo vingi venye urembo na urembo ni addiction huvuta hisia na fahamu zetu na kuzidi kuvutiwa eg...(nimeeleza ni kwa namna gani urembo unavomfurahisha mtu kwa kuteka hisia zake).
1.Twapenda cheni,
2.saa nzuri,
3.mikanda mizuri,
4.perfumes,
5.kunyoa vizuri na kuweka nywele sawa,
6.kucha ziwe neat,
7. body liwe sexy yaani chest and packs ziwe formed well,
8.kuhusu nguo na viatu ndiyo funga kazi.
9.Hereni za kiume pia ziangaliwe siyo kuvaa hereni kila kona, hereni zivaliwe harusini tu au kwenye parties...wanawake hawana limits ya kuvaa hereni.
for real this fantasy will kill one oooh ๐ in nigerian voice 'one man down'
Sweet life needs to be better prepared,
kingine ni kuwa hakikisha mwanaume unapo pendeza basi lazima uwe na demu yaani chick ni lazima ili uwe na opposition la sivyo utaanza kuvaa vibukta wenyewe tunaita vinjuga na vilapa vya kina careen afu uanze kununua hereni na kusuka mara vitatoo uchwara shingon, mara hivi mara uanze kubinua binua tutako na tusuruale ushenzi tushuke chini๐ ๐ ๐ ๐
Hapo ndiyo nitauliza "Huko Shureni Mrisomea Ujinga" ๐คฃ๐คฃ๐๐
Angalizo:
Wengi hudhani kupoteza ubingwa ni kwa kupenda huja automatically kwa life styles za kila siku.... pia epuka kwenda kwenda saloon za kike na kukaa na group za ladies, hii kitu naona ya kusuka rasta inanipa wasiwasi... rasta fulani mtu anawaka ๐
Sijasoma kiswahili cha mashogaHiyo ni nakshi kwenye lugha mwamba mbona Rais wako mstaafu alipenda kutumia sie na twa.....hujasoma kiswahili nini huko shuleni...