Wanaume tunaopenda fashion ni rahisi kupoteza ubingwa

Mwanaume kuvaa hereni ni zamani saivi niushamba , cheni ni zamani now ni ushamba , kuwa msafi na kupendeza kunukia ni moja sifa kwa mwanaume boxer ziwe safi, zinanukia ,chumba kiwe safi , nakila kitu chake kiwe kime arrangiwa powa
Mwanamume utakuwa Huna kazi kabisa. Yaani mishe zilivyozagaa namna hii nikae napanga chumba[emoji849]na dem akizama getto atashinda anafanya nini? Si wasugua miguu watamnasa na kumpandisha genye? Wadada kuweni serious at least
 
Kwa hiyo getto la msela liko shagalabaga
 
Mwanaume kuvaa hereni ni zamani saivi niushamba , cheni ni zamani now ni ushamba , kuwa msafi na kupendeza kunukia ni moja sifa kwa mwanaume boxer ziwe safi, zinanukia ,chumba kiwe safi , nakila kitu chake kiwe kime arrangiwa powa
Kuwa msafi sawa,maswala ya ku-arrange room ni stori ingine..

Nani kasema kuvaa cheni ni ushamba..nakupinga inategemea umevaa cheni gani na size gani.
 
Urembo ni kwaajili ya wanawake.. mwanaume ukiwa mrembo membo lazima utongozwe
Unaogopa kutonhozwa? Mbona kawaidaa watu wanatongoza mijitu ya gym sembuse wewe unaejipenda, kwanza urembo upo wa aina nyingi, kuchana nywele kwa mwanaume ataonekana mrembo tuu, kupaka mafuta au lotion bado ataonekana mrembo, kuvaa boxer bado ataonekana mrembo tuu so usiogope kutongozwa
 
Kuwa msafi sawa,maswala ya ku-arrange room ni stori ingine..

Nani kasema kuvaa cheni ni ushamba..nakupinga inategemea umevaa cheni gani na size gani.
Every one ana mambo yake, akifanya mwingine anakereka wakati yeye biñafsi hayuko sawa.
 
Back
Top Bottom