Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Iv tai inakiwa iandaen na shati au na nin uwa sielew kwny mpnglio tai inakuwa kwny kundi gani au inavaliwa na shati lolote tu??
Suti nyeusi,shati jeupe tai nyeusi.
Tai unaweza kuvaa yoyote hasa ukiwa umevaa suti nyeusi shati jeupe. Tai inategemea umevaa shati au suti rangi gani.
 
Suti ingine nzuri ni black au blue yenye mistari myembamba kwa mbaaali...
 
Wadau minafunga ndoa soon nimeplan kuvaa suti ya dark blue, wanaojua bei na pia ushauri wa rangi nyingine labda.. pia muda wa kuipata hiyo suti na pia ya msimamizi maana nagharamia zote. Bei wastani
 
Wadau minafunga ndoa soon nimeplan kuvaa suti ya dark blue, wanaojua bei na pia ushauri wa rangi nyingine labda.. pia muda wa kuipata hiyo suti na pia ya msimamizi maana nagharamia zote. Bei wastani
Ndo suti nliovaa juzi kati hapa ila nlishona kwa fundi mmoja hv hatari sana kwny kushona ila pia madukani ni chache sana hizo rangi otherwise ukashoneshe
 
Kuna huyu kijana anaitwa Sheria Ngowi suti anazo tengeneza huwa nazikubari sana ngoja nijichange nikamtembelee
7ba274d2a836753fdb9ab5a35cb0bb21.jpg
 
Wataalamu njooni, Mi najua kuvaa tu.. Ila suti ya blue bado sijavutiwa nazo
 
Kuna huyu kijana anaitwa Sheria Ngowi suti anazo tengeneza huwa nazikubari sana ngoja nijichange nikamtembelee
7ba274d2a836753fdb9ab5a35cb0bb21.jpg
Ngowi ni fundi mzuri ila naona yuko overrated ikapelekea yeye kuuza suti bei ghali sana.

Kuna fundi mmoja nilielekezwa na mshikaji alinishonea suti nzuri sana hua nikizivaa watu wanajua nimeagiza nje ya nchi kumbe mtaani tu kwa mafundi wa mtaani.
 
Huyu Sheria ngowi anashona suti zake TSH ngapi??
 
Mara ya mwisho kuvaa full suit ilikuwa katika kipaimara changu 2000, huwa navaa koti pekee chini navaa jeans au cadet! RANGI nizipendazo ni khaki, black, grey na damu ya mzee, hizo rangi rangi nawaachia wakorea
 
Back
Top Bottom