King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Hujakutana na mtu amevaa suti ina rangi ya chama cha wanaokula rambirambi. Halafu kawekea na shati la njano. Lazima ukae.
Kuna lecturer mmoja alikua anavaa suti rangu za kike [emoji23][emoji23][emoji23] yaani tulikua tunachekaaa! Atakuja kavaa aqua blue, mara orange, pink...