Suti nyeusi,shati jeupe tai nyeusi.Iv tai inakiwa iandaen na shati au na nin uwa sielew kwny mpnglio tai inakuwa kwny kundi gani au inavaliwa na shati lolote tu??
Black au dark blue.Ni rangi gani ya suti inayofaa kwa bwana harusi?
Ndo suti nliovaa juzi kati hapa ila nlishona kwa fundi mmoja hv hatari sana kwny kushona ila pia madukani ni chache sana hizo rangi otherwise ukashonesheWadau minafunga ndoa soon nimeplan kuvaa suti ya dark blue, wanaojua bei na pia ushauri wa rangi nyingine labda.. pia muda wa kuipata hiyo suti na pia ya msimamizi maana nagharamia zote. Bei wastani
nimeku PM mkuuNdo suti nliovaa juzi kati hapa ila nlishona kwa fundi mmoja hv hatari sana kwny kushona ila pia madukani ni chache sana hizo rangi otherwise ukashoneshe
Kitu cha blue....Kuna huyu kijana anaitwa Sheria Ngowi suti anazo tengeneza huwa nazikubari sana ngoja nijichange nikamtembelee
Kuna huyu kijana anaitwa Sheria Ngowi suti anazo tengeneza huwa nazikubari sana ngoja nijichange nikamtembelee
Acha utani. Hebu angalia hio hapo juu....Wataalamu njooni, Mi najua kuvaa tu.. Ila suti ya blue bado sijavutiwa nazo
Sasa mtajuaje nimevaa Pierre CardinLabel ya koti mkononi ondoa unaponunua suti yako.
Ngowi ni fundi mzuri ila naona yuko overrated ikapelekea yeye kuuza suti bei ghali sana.Kuna huyu kijana anaitwa Sheria Ngowi suti anazo tengeneza huwa nazikubari sana ngoja nijichange nikamtembelee
Kuna uzi jukwaa hili hili nasikia $2000 ndio ya bei rahisi.Huyu Sheria ngowi anashona suti zake TSH ngapi??