Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Vijana wengi wanajitutumua kuonekana ni wanaume kwa tabia za uchafu huku wakitelekeza watoto , wakijipiga vifua kuwa na magamba kama kobe ndio uanaume .
Mkuu,
Umeibua hoja ngumu na nzito Sanaa 😊 kutelekeza watoto? Pia magamba Kama Kobe ndio uanaumeeπŸƒπŸƒπŸƒ

Jiwe gizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…