Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Mhasibu amewakilisha wanaume wa Sinza!!Mhasibu unanipa wasiwasi sana mhasibu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhasibu amewakilisha wanaume wa Sinza!!Mhasibu unanipa wasiwasi sana mhasibu..
Kuwa na ngozi ngumu, mikono migumu n.k ndio masculinity??Mtoto wa kiume unatakiwa ukaze
Salama kaka upo powa ndugu yangu 😊Doctor heshima yako...... muhimu mzee wangu maake humu sichelewi kushambuliwa 😂
Nipo salama mzee wangu...... vipi huko mjini dasalama?Salama kaka upo powa ndugu yangu 😊
Ndo upake hands lotion?Kuwa na ngozi ngumu, mikono migumu n.k ndio masculinity??
Punguza ushamba sister, hatupo enzi za stone age
😋😋Ni blue Monday 😂✋....... Muzee ya vitu au kichwa kipo kizito kutoka Jana
Hakika blood 👊🏾✊🏿👍🏾Pole sana bruh!! hrkt za kupambana ndo zinakuwa hivyo 👊
Vijana wengi wanajitutumua kuonekana ni wanaume kwa tabia za uchafu huku wakitelekeza watoto , wakijipiga vifua kuwa na magamba kama kobe ndio uanaume .Kuwa na ngozi ngumu, mikono migumu n.k ndio masculinity??
Punguza ushamba sister, hatupo enzi za stone age
Huku jua linawaka Sanaa☺️Nipo salama mzee wangu...... vipi huko mjini dasalama?
Good luck 👍😋😋
Hakika blood 👊🏾✊🏿👍🏾
Huku jua linawaka Sanaa☺️
Mkuu,Vijana wengi wanajitutumua kuonekana ni wanaume kwa tabia za uchafu huku wakitelekeza watoto , wakijipiga vifua kuwa na magamba kama kobe ndio uanaume .
Ntafanya juu Chini nitoe andiko issue u busy kiasi Ila ntaandaa for sure kakaTunapambana mzee wangu...... Makala yako nakukumbusha kuhusu pharmaceutical companies......
Kazi ngumu na kutoa magamba kama kobe ni matokeo ya kufanya kazi katika mazingira duni tu wala sio kwamba ni uanaume.Mkuu,
Umeibua hoja ngumu na nzito Sanaa 😊 kutelekeza watoto? Pia magamba Kama Kobe ndio uanaumee🏃🏃🏃
Jiwe gizani
Naelewa majukumu ni mengi boss!Ntafanya juu Chini nitoe andiko issue u busy kiasi Ila ntaandaa for sure kaka
Daaah nipe tofaut au imesound tofaut 😂Good luck ❌
Work hard ✔️
😂🙌