Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Sina boss , kuna Nivea ya kike tu
Unazo zipi kwa za kike. Nimenunua sprays za Nivea Men, kwa kweli kwa mara ya kwanza wameniangusha hawa jamaa, spray haikai mwilini zaidi ya masaa 2 kibaya zaidi zinauzwa bei juu ukilinganisha na hizi za kike like, fresh natural, dry comfort and pearl & beauty ambazo nimezitumia sana.
 
natamani kuwa smart ila uchumi unanilazimisha Vestiline herbal ya 2000
 
Kwa comments hizi nimegundua ndio maana akina Half american wamepaukiana huku mtaani. Wanaume wengi hawana habari na skin care kabisaaa🙆‍♂️🙆‍♂️
Usisahau dipresheni inachangia kupausha pia hata ujipake lori la lotion. Futa la nazi lipigeni vita ila siliachi. Mimi ngozi yangu ina mafuta mengi hata nsipojipaka kitu sioni tofauti.
 
Eti mwanaume unataka kuwa nyororo!??. I don wan peace i wan problems always, iiih iih iih, my god i wonder
 
Back
Top Bottom