Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Hapo ongezea sunscreen, shower gel, serum, toner na scrub utakuwa umetisha..!!

Hapo kwenye hand cream ongezea na color less kucha zing’ae na ka pink lip balm 😜🤣

Joannah sis Shem naye anatumia hand cream? 😹😹
 
Sisi wanaume ambao hatuchagui mpaka povu la sabuni ya unga tunaogea mnatuweka kundi gani, kuna kuna kina sisi tunaooga chukuchuku kama hakuna sabuni, ama tunaita kujimwagia maji.

Ila kiukweli kabisa, mambo ya kupaka lotion ama mafuta kumenikalia kushoto mnooo, siwezi kabisa, na sijawahi kutoa hela yangu nikanunua lotion,
Mke wangu alijaribu jaribu mwanzoni, akaona huu mti mkavu kwenye suala la kupaka mafuta ama lotion nimemshindwa.
Mie ni body spray tu baasi.

Labada niende mkoa wenye baridi sana, na huko sipaki mafuta mwilini, ni mdomo tu sababu huwa unachanika chanika.
Kwahiyo ukitoka kuoga unajikung’uta km mbwa basi 😹😹
 
Pia jitahidi kufanya waxing pubic hair, full body massage na steam bath angalau mara moja kwa mwezi.
Au tafuta mwanamke wa Tanga akufanyie kitu inaitwa "kusinga" walau mara moja kwa mwezi.
Wewe sasa ndo umeua 😹😹
 
Vijana wengi wanajitutumua kuonekana ni wanaume kwa tabia za uchafu huku wakitelekeza watoto , wakijipiga vifua kuwa na magamba kama kobe ndio uanaume .
Mangi mbona km umeumia nawe mdau wa hand cream nini 😹😹😹
 
Labda samona jelly 😂
Screenshot_20250121-202747.jpg
hapana ni haya hapa mazuri sana kama samona tu ila haya ni Bora zaidi
 
Hapo ongezea sunscreen, shower gel, serum, toner na scrub utakuwa umetisha..!!

Hapo kwenye hand cream ongezea na color less kucha zing’ae na ka pink lip balm 😜🤣

Joannah sis Shem naye anatumia hand cream? 😹😹
Mmh mimi kwa kweli huwa ni ugomvi yeye akishapaka deodorant akiweka cologne yake kamaliza,nasema kila siku si uwe unapaka hata baseline hiyo mikono inapauka utasikia nani anataka kusweat?.....Kilichonishangaza mleta uzi kasahau kabisa kwapa na moisturiser ya vitamin C😁
 
Dada unajitahidi kumzingatia shem 😻
Ndiomana anapendeza na kunukia kitajiri
 
Back
Top Bottom