Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Vijana wengi wanajitutumua kuonekana ni wanaume kwa tabia za uchafu huku wakitelekeza watoto , wakijipiga vifua kuwa na magamba kama kobe ndio uanaume .
Uanaume ni kutekeleza majukumu yako na ku-provide kwa watu wanaokutegemea au walioko chini yako bac, huo ndio uanaume hata kama huna misuli hata kama una mikono milaini, as long as una majukumu na unayatekeleza, kwangu mm huyo ni mwanaume.

Hayo mambo ya mikono migumu sijui milaini, mambo ya huyu ananukia vizur mwingine ananuka kibeberu, hayana uhusiano na uanaume.
 
Mwanaume kutumia hand cream huo ni umama..!
Mkuu ikumbukwe jukwaa limeainishwa wazi ni la watu wenye kariba ya aina gani sio busara kabisa kuchangia hoja hizi kwa lugha ya kudhalilisha,kama wewe hupendi urembo unaweza kusoma na kukaa kimya tu
 
Hiyo sabuni ya MEGA inapatikana wapi?
 
We kama unatumia jamaa tuliza kende tu kama Mimi hii Dunia tunapita.
 
Basi hapa masela mavi watakuona mwamba kweli kweli tena hapo uongezee na kikwapa kutema kutu 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…