Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Tupe elimu dada yetu.
 
Sisi wanaume kutokana na kuwa na shughuli nyingi sana zinazotufanya tutokwe na majasho mara kwa mara,hii husababisha ngozi zetu kuwa salama na nzuri naturally.So achana na mimafuta mengi,hakikisha tu unaoga hata mara moja kwa siku
Piga futa lako moja la mgando/olive oil sepa....hakuna mambo mengi bro...ngozi ya mwanaume iwe mororo unamvutia nani?
 
Katika mwili wa binadamu suala ya afya bora ya ngozi ni muhimu pia.
 
Acha sabuni ya unga .Kuna miti flani hivi nimeisahau jina , unaisugua kwenye jiwe inatoa povu unaogea mtoni. Aah! Tumetoka mbali bwana[emoji1787]
 
Nikinunua body wash ndan ya sku 4 imeisha ila nikinunua sabuni nakaa nayo zaidi ya 2 week
Kwa mm ninae thamini pesa yangu siwez ujinga huo

Kwa mafuta na rosheni vaseline blueseal petroleum jelly ni noma sana na bei yake ni nafuu sana
Nunua Dove Gel na Dove bar, unaweza kupishashanisha, unatumia Gel baada ya siku 2
 
Hawawezi kukuelewa, unakuta mtu amevaa vizuri ila vidole vya mikono vinatoa harufu ajabu. Mtu anayejitambua hawezi kukubali mikono iwe na hali hiyo.

NB: Hayo uliyoyaita mafuta huwa yanatumika sehemu gani ya mwili?.
Hizi body lotion ni kupaka mwili mzima. Nimeweka 2 chaguo ni lake kati ya Jergens au Nivea breathable. Ila Dove ni ya kuogea mwili mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…