Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Noma sana aisee....
Nilikuwa nadhani huwa ni wanawake tu wenye mafuta ya uso, mafuta ya kiwiliwili, mafuta ya mikono kumbe yapo kwa ajili ya wanaume pia.
Ngoja nizidi kujifunza maana nilidhani ninajua yote kuhusiana na mafuta nikaja kusikia kuwa kuna mafuta hata ya Pdiddy.
Wanaume wanamafuta hadi ya kwenye bikini, ni mazuri sana. Mjipende jaman
 
Nikioga nikapaka duodorant yangu kwapani, futa la nazi juu ya ngozi, saa mkononi, nguo zimepigwa pasi, mkanda kiunoni, kiatu mguuni, nmechana kipilipili changu kichwani na uchebe plus kaunyunyu kidogo cha savage nimemaliza.

Hizo dove nikinunua zitaexpire nitasahau kutumia.
Kuna sabuni zinaitwa MEGA zina maandishi ya kiarabu, ni buku tu hazina harufu kali binafsi tangu nizijue nazipendelea sana.
Hapo kwenye uchebe ndio umenimaliza kabisa bado kuliwa tuu
 
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.

Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.

Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000

View attachment 3207079

Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094

Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta

Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Napenda mwanaume awe smart kwenye kila kitu sio ngozi na kunukia hadi kwenye gololi jaman kwa sisi tunaopenda kulambaalamba, lakini pia mtumie juice za vitunguu maji asali na limao asbh na jioni ili usmart ukamilike sio kwa kwenye muonekano wa nje hata kwenye mkito jamani wengine hatupendi kuifikishiwa njiani
 
We Mburukenge itakuwa ni miongoni mwa wanaojipaka mafuta matakoni Kenge mkubwa wewe
Kwani shida iko wapi, unajua faida ya mafuta lakini? Mafuta yanalainisha ngozi na kukufanya uonekane nadhifu na soft, lakini pia ngozi inahitaji chakula yaan mafuta yaan mm nina mafuta hadi ya matako hadi yanaonesha jinsi panavyovutia hadi raha hata sinuki najisikia vizuuuuuri kutwa nzima
 
Tangia umeleft huu ni mwaka wa ngapi?..
 
WaTanzania wengi wanahitaji elimu juu ya afya ya ngozi zao, utunzaji wa ngozi hakuingiliani na mwanaume kuwa soft au mlaini, ni afya kwa ujumla.
Kwenda sauna, kwenda barbashop n.k kwa ujumla ni kujitunza...

Ndio maana ukitembea sehemu nyingi Tanzania, vijana wengi ni kama wakimbizi kimuonekano, mtu kajichokea, hawajali kuhusu ulaji na afya... ukitokea na muonekano wa tofauti wanaanza kukutizama wanajua kabisa huyu si mbongo mwenzetu...
Ama huyu ni tajiri... tubadilike...
Huwa iko hivo....
 
Hand cream ni hapana na nimemwambia mtu hapa loud & clear, huo mstari asiuvuke.

Kuna products naweza kumuelewa, face wash, showe gel, moisturizer za kiume zipo kibao, deodorant & perfumes zote awezavyo.

Ila serum, toner, hand cream, sunscreen, lip balm, face mask zimpite mbali.
natumia vaseline pekee ya kopo la blue kwenye baridi, joto ni lotion yake.

😅😅😅Hayo mengine yanipite mbali tu, mwanaume unatumia vipi serum, toner au face mask
 
WaTanzania wengi wanahitaji elimu juu ya afya ya ngozi zao, utunzaji wa ngozi hakuingiliani na mwanaume kuwa soft au mlaini, ni afya kwa ujumla.
Kwenda sauna, kwenda barbashop n.k kwa ujumla ni kujitunza...

Ndio maana ukitembea sehemu nyingi Tanzania, vijana wengi ni kama wakimbizi kimuonekano, mtu kajichokea, hawajali kuhusu ulaji na afya... ukitokea na muonekano wa tofauti wanaanza kukutizama wanajua kabisa huyu si mbongo mwenzetu...
Ama huyu ni tajiri... tubadilike...
Duh!...
 
natumia vaseline pekee ya kopo la blue kwenye baridi, joto ni lotion yake.

😅😅😅Hayo mengine yanipite mbali tu, mwanaume unatumia vipi serum, toner au face mask
Serum mbon inakufanya uwe na mvuto jaman unatakata unavua gamba unakuwa mtamu hadi kwenye dyudyu
 
Back
Top Bottom