Wanaume tunaotunzwa na wake zetu tuje hapa

Ile subaru uliyoibiwa Arusha ulinunuliwa na mkeo mkuu,

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Mwanamke anitunze mimi!!!?kudadadeki akamtunze baba'ake sio mimi hawana dogo hawa siku mkigombana kidogo anafunga mtaa kusema madhaifu yako hata bundle la jero alilokununuliaga analitangaza siku hiyo.mwanaume jitafutie kwa jasho lako uenjoy maisha epuka kutunzwa na mwanamke.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwaka 2012 ulikuwa mwanamke na leo umebadilika kuwa dume na unalelewa ref Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida
BINTI77
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…