Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Lemutu....
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sent From My Nokia Ya Tochi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie mapacha!??Miss Natafuta anza kunitunza please!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]!Nyie mapacha!??
[emoji144][emoji23] [emoji23] [emoji23]!
Kukapa kale ka benten papuchi kubwa namna hiyo ni kukaonea!!endelea kusubiria
Mbona mm ulininunulia nikakubaliHahahhaah wanaume wa Dar. Wamikoani hata kumnunulia juice hawataki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwaka 2012 ulikuwa mwanamke na leo umebadilika kuwa dume na unalelewa ref Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaidaDuniani raha sana , mwanamke akikupenda raha sana, hasa akiwa na pesa na kazi nzuri.
Unakula beers, unakula maisha mjini, ananuka kila kitu kiroho safi, maisha yanasogea. Sasahivi tuna watoto 2, gari za kutembelea 2 na nyumba yetu safi maeneo ya Kigogo hapa Dsm. Mm nafuatilia biashara za mke wangu,maana ye yupo busy sana ofsn,anasafiri nje mara kibao.
Hatujawahi hombana, amani kila siku. Yupo very peace, mwaka wa 8 sasa maisha safi. Mwanaume nadrive bila shida, ila usiku cha moto nakipata, busy busy sana juu yake.
Wasalaam.