Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

Wanaume wengi wanaoa kwa kuangalia muonekano wa nje, Chura, Miguu, Sura n.k. wakiamini amani na utulivu watavipata ndani ya ndoa.
 
Wanaume wengi wanaoa kwa kuangalia muonekano wa nje, Chura, Miguu, Sura n.k. wakiamini amani na utulivu watavipata ndani ya ndoa.
Lakini wengine wameoa wenye sura,shepu(chura), miguu na rangi lakini bado wanachepuka tu.
 
Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke.

Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa.

Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika maisha yake, anamuoa haraka

Wanaume ni wenye maono wanapofikiria ndoa, hawafikirii mavazi ya harusi na bi harusi, wanawaza tofauti na chochote ambacho mwanamke anawaza siku ya harusi itakuwaje kwamba siku ya harusi nitavaa vipi ukumbi upi utapambwa rangi gani.

Tunafikiri kuwa mwanamke huyu anaweza kunitunzia nyumba na kukaa na familia bila kuleta matatizo au ataanza kuchepuka.

Wanawake wao hawafikirii maisha ya mbele, ye anachojua ni kutimiza majukumu yake anajua kinachofuata ni kubeba mimba na kuzaliana basi.

Unampa biashara anakuandalia chakula unampa pesa anakupa amani unampa mbegu anakupa watoto
Baada ya muda kidogo ugomvi unaanza, inageuka ndoto mbaya na wanaume wengi wanaijua.

Ndio maana mwanaume anaweza kukaa kwenye uchumba na mwanamke miaka mingi akakutana na mwingine ndani ya mwezi mmoja, kisha akaoa.

Wanaume hawa hitaji vitu vingi kutoka kwa mwanamke wanataka utulivu wa mwanamke.

images(2).jpg
 
Wanaume huoa kwa Sababu mbali mbali

1.Kwa Sababu wako desperate

2.Wanataka kupata uhakika wa kula tunda kila siku

3.Kwa Sababu umri umesonga wanaogopa kisimangwa na wenzao walioa

4.Kwa Sababu wako vizuri kichumi
 
Nakubaliana na mtoa mada,pia wanaume tunaoa wanawake wenye heshima na utii kwa mwanaume,heshima inabeba vitu vingi sana na mwanaume akishagundua kuwa huyu mwanamke anamheshimu na kumtii,chapu kwa haraka anamuoa
mmh
 
Back
Top Bottom