KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!.
Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie haiwezekani mtu anawekeza kwako muda, fedha na hisia lakini hayo yote mnayaona bure, inauma tena inauma kwelikweli.
Nachoamini sisi wanaume tukipenda tumependa kweli na ndio viumbe wenye mapenzi ya dhati.
#Wanaume wote tutaiona pepo.