Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

Ndo maana Mungu alitupatia binti mkono huyo kamwe hatokuja kukuumiza labda wewe ndo umuumize.

Chaputa oyeeee...chaputa safiiiiiiiiiiiiiiiiii...

Asanteni sana kunickiliza
Tena unatumia ile AYU unalikwaruza huku unamchek yule dada..hahah
 
Pole sana mzee baba hao ndio wachumba uliwasumbua sana nawewe imefikia time wamekuotea😅😅😅
love is not by choice but by chance!!
hahaha its a game of chance!!
mnaishi kwa kuviziana KUBABAKEE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na nyie hua mnaumiaa??
acha kabisa mamiluu,
just imagine sasa hivi nilikuwa sehemu ambapo demu wangu niko nae alikuwa anafanya kazi!!
huwa nikija hapa wananiuliza hivi fulani si ilikuwa kitu yako..

mimi nacheka tuu nawaambia HAPANA ni just friend tuu na nimezoeana nae!

sasa leo kuna kuna sista duu akaniuliza tena nikaataa!

si ndo ameanza kumwaga mastori ya huyo manzi na watu waliommega siku akiwa mitaa hii..

kiukweli imeniuma wala sikatai...
 
Oooh pole sana jamanii
 
Back
Top Bottom