ndio hivyo muungwana akivuliwa nguo huchutama,,.Oooh pole sana jamanii
Embu mtumie msg muulize " nitume kwenye namba gani" uone maajabu πSiku tatu nzima. Kuna mwezangu anachati nae vizur ty sema kizazi natafuta pesa.
Cjui huyu muumizwaji ana feli wapi ππtena unatumia ile AYU unalikwaruza huku unamchek yule dada..hahah
Babu mshana msaidie kijana wako hayupo sawa kabisaaa Kama vile kimeumana tayari.Mada zako za wiki hii KENZY kuna jambo si bure.. Aidha umeumizwa ama kuna situation fulani yenye changamoto unapitia
Kwan nn unasema ivo mkuu,kwan hatuna hisia?tena tunaumia mara mbili yenu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na nyie hua mnaumiaa??