J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,061
- 2,541
Habari za muda wadau.
Kuna kitu nime note. Kama mwanaume usipopenda ndugu zako na kuwathamini pindi uwapo ndoani usidhani mkeo atawathamini. Ukiwatupa naye atawatupa akiwauwa kiheahiniwa tai shingoni huku yeye akiwathamini ndugu zake.
Unaweza mtembelea kaka Yako usithaminiwe Wala kiheshimiwa hata na watoto wake ila wa mkeo wakija wakathaminiwa na wewe mwanamume ukalazimika hata kuwagharimia chochote wakitakacho.
Hii yote chanzo chake ni kwa sisi wanaume kutowathamini ndugu zetu au hata wadogo zetu. Nimeona ni Bora kuwa na sister kuliko brother. Brother anakutupa mapema sana Tena mbele ya shemejio na watoto wake. Nimejifunza kuanzia Sasa kile nafanyia ndugu za mke wangu nitahakikisha nafanyia ndugu zangu ili niwe WA tofauti.