Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kakaushe bahari, ukiweza hilo ndo urudi na comment yako hiiMbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu
Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke
""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
Duh kwahiyo ingekua ni mwendo wa kukwea mmazi kwa mkono mmoja hadi unazeeka🤔Tungeishi kivipi, hiyo ni siri ya kapuni.../
Utamu ambao hawatupi, tungeupata kwenye sabuni.../
Au vipi wahuni?
[emoji23][emoji23][emoji23] tungetengeneza sabuni za kutosha.Tungeishi kivipi, hiyo ni siri ya kapuni.../
Utamu ambao hawatupi, tungeupata kwenye sabuni.../
Au vipi wahuni?
Penye nia pana njia ukiwa na uthubutu wa kuanza, tungetengeneza madols ya 3D yakisasa yanayoweza kuzaaDuh kwahiyo ingekua ni mwendo wa kukwea mmazi kwa mkono mmoja hadi unazeeka🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penye nia pana njia ukiwa na uthubutu wa kuanza, tungetengeneza madols ya 3D yakisasa yanayoweza kuzaa
Sasa watu/wanadamu wangekuwa wanazaliwa kwa kujambwa na wanaume ama?Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu
Sasa watu/wanadamu wangekuwa wanazaliwa kwa kujambwa na wanaume ama?
Hivi hakunaga malaika wanawake? Mkuu niondoe kutu kwenye ubongo maana hili ni jipya kwanguMbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu
😀😀Duh kwahiyo ingekua ni mwendo wa kukwea mmazi kwa mkono mmoja hadi unazeeka🤔
Hakuna malaika mwanamke,,,, historia na maandiko matakatifu kwenye vitabu vya dini hapajawahi kutajwa malaika mwanamkeHivi hakunaga malaika wanawake? Mkuu niondoe kutu kwenye ubongo maana hili ni jipya kwangu
Unajua kabla ya kuwepo bahari kulikuwepo na Nini? swali dogo tu ila logic yake ni kubwanenda kakaushe bahari, ukiweza hilo ndo urudi na comment yako hii