Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
 
Mbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu

Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke

""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
 
Mbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu

Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke

""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
Nenda kakaushe bahari, ukiweza hilo ndo urudi na comment yako hii
 
Kuna wanyama na mimea,

Tungeweza Kuishi na Kimojawapo kati ivyo juu,
Au vyote kwa pamoja kutegemeana na matakwa ya Mwenyezi Mungu Muumba.
 
Sasa watu/wanadamu wangekuwa wanazaliwa kwa kujambwa na wanaume ama?

Wee una nyeegeeh ...!??😅😅😅

Akili yangu imeniambia iwapo dunia ingekuwa na wanaume tuu basi mkuyenge ungekuwa mkubwaaa maana usingekuwa na kichongeo.

Puli ya mkono, sabuni, midoli haifikii kichongeo shurti pen-cell inatoka imechongokaaa sharp kwenda kuandika mahala ...😜.

Hata sijavuta bange, akili tuu.
 
Hivi hakunaga malaika wanawake? Mkuu niondoe kutu kwenye ubongo maana hili ni jipya kwangu
Hakuna malaika mwanamke,,,, historia na maandiko matakatifu kwenye vitabu vya dini hapajawahi kutajwa malaika mwanamke

Hii jinsia ya kike imekuwepo kwa sababu ya kumpunguzia muumba wetu kazi ya kuumba viumbe wengi ambayo mungu angeifanya kwa miaka kenda miaka rudi

Kwa hiyo Adamu aliumbiwa mwanamke ili kuongeza uzao wa mwanadamu duniani
 
nenda kakaushe bahari, ukiweza hilo ndo urudi na comment yako hii
Unajua kabla ya kuwepo bahari kulikuwepo na Nini? swali dogo tu ila logic yake ni kubwa

Kila kitu unachokiona machoni pako leo kinaweza kuwepo leo na kesho kisiwepo tena

Kwa hiyo bahari inaweza kuwepo leo na kesho isiwepo na hata wewe unaweza kuwepo leo na kesho usiwepo....

"""hakuna kisichowezekana chini ya jua"""
 
Back
Top Bottom